Aliniacha kwa fedheha, lakini leo anahitaji msaada wangu

Sijakuelewa unaposema Bongo bila connection ni ngumu, kwenye issue gani sasa? Kwani huyo binti anahitaji msaada wa kiuchumi au ni issue nyingine tu muhimu?

Sent from my TECNO WX3 using JamiiForums mobile app
Ni issue nyingine very important, amezunguka sana kupata msaada ameshindwa, alipo niambia tu nikaona ni issue ina-solvika ndani ya siku moja tu au mbili nikiamua kumsaidia mimi ila nje ya hapo kufanikisha kwake yeye kama yeye itakuwa ngumu mnoooo.
 
Kwenye mazingira kama hayo ndipo ninapo zidi kuipenda I phone ukila block sioni sms yako wala call yako.
 
Miaka 4 akakuacha kirahisi namna hiyo. Huyo ni shetani wa miguu miwili. Hakuthamini muda wako
 
Usisaidie takataka kama hizo. Miaka minne meant nothing to her

Utamsaidia aanze kukushawishi ufanye nae mapenzi ili usahau afu baadae akumwage kama mwanzo. Hana maana huyo

Sent from my Infinix X622 using JamiiForums mobile app
 
Sasa huyo si utoto mie na jamaa yangu kanifanyia mambo worse but we chat na nimesamehe na nimemtendea wema yeye ndo anaumia wakati Nina amani. Mpenzi wako hata ka numeachana kumkomoa kisa misunderstood huwa naona lack of maturity.
Kabida mkuu kukomoana ni dalili ya kutojitambua.
Swali la kizushi kwa hiyo Jimbo liko wazi?
 
Binafsi naona km lipo ndani ya uwezo wako na halikucost kuweza kulitatua just do it, msaidie tu. Ila kwa swala la kurudiana nae usiruhusu hata kidogo, tena ukishamaliza kumsaidia mblock kabisa akafie mbele.
Huyo akisha saidiwa atakuwa anamponda jamaa kwa wenzie.
Nilijua tu yule haruki kwangu..
Nalichunaa ...
Jamaa kama zezeta kwangu ...

Huku mwamba atakuwa anaumia tu kila akikumbuka alivhotendewa.
Na unafiki wa namna hii ni dhambi tu, bora anwambie wazi asimtafute kwani hajasahau kitu kwake.
 
Katika kitu siruhusu mtu kunifanyia ni kuwa second option yake. Kama hayo matatizo yangeweza tatuliwa alipo asingekutafuta. Sisi tuliopitia hali kama hizo tunajua how you feel mkuu. Achana nae, usijibu chchte endelea na mambo yako. Usumbufu ukizidi mchane asikusumbue uhusiki na maisha yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa msaada wema hauozi bana, duniani tuliletwa tusaidie watu, pia huyu kakufundisha mahusiano yalivo. Na dunia ilivo ya ajabu IPO siku aweza kuja kukuokoa. Wewe msaidie ila kata mazoea naye utashangaa utapata armani moyoni
Si aende kwenye NGO,tunaishi kwa kulipizana tu hakunaga kusaidia pale ulipoonekana hufai
 
Tunawaonya kila siku hapa kuhusu mabinti wa kaskazini, kweli kusikia kwa kenge mpaka atokwe damu sikioni.
 
Maswali aliyo kuuliza wewe pindi anakuacha ndio hayo hayo umuulize na wewe na hakikisha unakua mgumu
 
Kaka ukiwa mwanaume kamili simanishi kimapenzi yaani kama unajua majukumu yako ya kiume cha kwanza inabd uwe na moto mkubwa wa kusamehe na kujenga mbele tokana msamaha ni dawa kwako pia kama ana shida msaidie ila usimrudie
Tumeumbwa kuhudumia
 
Utakuwa chizii wew ukimsaidia
Jibu moja tu amfate yule alie mpa kiburi
 
Msaidie tu mkuu halafu we endelea na mambo yako usilipize ubaya kwa ubaya.
 
First time eeh

Welcome to the gang bro

You are reborn now [emoji16][emoji16][emoji23]
 
Unamsaidia jambazi kukumaliza[emoji23][emoji23][emoji23]. Yeye mwenyewe hana ubinadamu anaonekana ni binti wa fursa
 
Huyo demu hajakosea kukwambia "hujiongezi tu"
Unaonekana hujielewi na huna msimamo na hujui kung'amua mambo. Na huenda una force sana ndio maana anakuona bwege mtozeni. Kazi kwako
 
We nae inaonekana bado unampenda unaanzaje kuchat/ kuongea na mpuuzi kama huyo aliekudharau kiasi hicho had ndugu zako. Mpige block kila mahali. Ulishaona wapi mtu akukumbuke kwenye shida tu, huna demu hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…