Aliniacha kwa fedheha, lakini leo anahitaji msaada wangu

Ngoja sasa nikuambie Jambo rafiki. Huyo dada alikuacha baada ya kujihakikishia hana anachohitaji toka kwako. Na alipokuambia hakupendi hakuwa anatania, alikuambia ukweli. Ndo maana akakupa ruhusa uwaambie ndugu zako na rafiki zako.

Usithubutu kusogeza tena karibu yako. Kama yeye hakujal hisia zako, wewe kwann uanze kuwaza sana juu yake.
Acha ujinga na utegemezi wa kihisia.
Ili hakuheshimu na kuwaheshimu wanaume wajao kwake mfungie vioo.
nimekuelewa mkuu, na nimepokea kwa mikono miwili.
 
kama shida yake haikugharimu sana wewe hebu msaidie mkuu uokoe kizazi chake, kukoseana kwenye mapenzi kusikufanye usimsaidie shida za kibinadamu
shida yake hainigharimu ata chembe mkuu, ila itamgharimu yeye na maisha yake.. yangu macho tu
 
Kiukweli sijui nina roho gani maana hata sielewi...lakini watu kama hawa huwa siwahurrumii...

Mkuu...najua unaweza kuamua kumsaidia ile kiubinadamu tu bila expectations zozote...ila jua tu utaumia kuona siku moja hakuheshimu....

Funga viooo achana nae...Huruma zinaponza...yaani mm ningekuwa wewe huyo angejuta miaka yote ....
 
Mkuu cha kwanza kabisa huyo binti ni hakupendi, Ila kwa kuwa moyo ukipenda huwa ni mgumu kusikiliza mpk upende wenyewe. Km mtarudiana haya. Ila hupaswi kurudiana naye maana hana upendo wa dhati kwako huyo bidada. Mapenz hayanaga ushauri aisee.

Na pia kama ulimsamehe kama ulivyosema mwenyewe, usiweke visasi na maumivu moyoni mwako, maana utaishi kwa tabu saaaaana na kumbukumbu yake haitafutika kichwani mwako. Wewe furhi na km hiyo ishu ww unaweza kuisolve bs isolve bila shida. Ila tu usiweke ukaribu nae kupitiliza wala usimpe nafasi ya kuwa karibu nawe tena.

Hujui tu mtu anaumia jinsi gani, amekuumiza ww lkn ww unaongea nae kwa furaha, unamtatulia changamoto zake, hufatilii mambo yake na akikuambia Maswala ya mapenz, ww unampiga stop, hizo habari huzitaki kbs, Yani atatafuta mchawi wake ni nani. Ila tu uwe na roho ngumu bs, lkn km roho yako ni nyepesi ndugu yangu acha usimsaidie chochote maana mapenz huwa hayajaribiwi. Utakuja apa kurudiana nae bila ata kujielewa mkuu.
 
nakuelewa ndugu yangu, kuna muda roho ya huruma inaniingia ila kuna muda nawaza mbona yeye hakunionea huruma wakati ananipa shiti
 
Mkuu cha kwanza kabisa huyo binti ni hakupendi, Ila kwa kuwa moyo ukipenda huwa ni mgumu kusikiliza mpk upende wenyewe. Km mtarudiana haya. Ila hupaswi kurudiana naye maana hana upendo wa dhati kwako huyo bidada. Mapenz hayanaga ushauri aisee.

Na pia kama ulimsamehe kama ulivyosema mwenyewe, usiweke visasi na maumivu moyoni mwako, maana utaishi kwa tabu saaaaana na kumbukumbu yake haitafutika kichwani mwako. Wewe furhi na km hiyo ishu ww unaweza kuisolve bs isolve bila shida. Ila tu usiweke ukaribu nae kupitiliza wala usimpe nafasi ya kuwa karibu nawe tena.

Hujui tu mtu anaumia jinsi gani, amekuumiza ww lkn ww unaongea nae kwa furaha, unamtatulia changamoto zake, hufatilii mambo yake na akikuambia Maswala ya mapenz, ww unampiga stop, hizo habari huzitaki kbs, Yani atatafuta mchawi wake ni nani. Ila tu uwe na roho ngumu bs, lkn km roho yako ni nyepesi ndugu yangu acha usimsaidie chochote maana mapenz huwa hayajaribiwi. Utakuja apa kurudiana nae bila ata kujielewa mkuu.
noted
 
Jamaniiii mnyonge,Mnyongeni ila haki yake mpeni mtu asiyempenda angewezaje kuishi nae kwa miaka 4
 
Muulize swali kama alilokuuliza umesahau nini kwangu? Utakuwa umemaliza kila kitu hapo.

Usiwe mpole kwenye issue ngumu. Hiyo ni weakness kubwa
weee Mwamba ni akili kubwa!
 
Msaidie tu ka unatoa sadaka ila usirudiane, haya maisha tu you never know one day atakuja kukusaidia na wewe
Ila kusema ukweli inataka moyo Sana. Mtu kama humtaki kwa nini usimuambie tu kistaarabu akaelewa kuliko kuvurumisha maneno namna hiyo.
Kama wangeachana kwa wema unafikir jamaa hata angekuja kuomba ushauri amsaidie au laa.
Lakini unaona tatizo ni approach ya binti kumuacha jamaa ilikuwa kama vile hakuna siku atamuhitaji tena kitu ambacho kiubinadamu jamaa imemgusa Sana.
 
Mpe Blocku tu

Akae kwa utulivu na mahusiano yake mapya.

Mwambie ajiongeze, kama alivyokuwa akikuambia kwenye zile sms zake za mwanzo
 
Achana nae fanya yanayokuhusu.

Fadhili mfadhili mbuzi utamla mchuzi.

Yaano fanya ka huoni .
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] unaona kama haiwezekani vile, sawa endelea kuamini unavyo amini
Mapenzi hayana ushauri yaaani ukiona unataka ushauri kwamba hauko tayari kuchukua maamuzi
 
Watu tunatofautiana sana.

Mtu alikuacha Kwa nyodo hivyo halafu bado una muda hata wa kusoma SMS zake?

Hujui ku-BLOCK?
 
Ila kusema ukweli inataka moyo Sana. Mtu kama humtaki kwa nini usimuambie tu kistaarabu akaelewa kuliko kuvurumisha maneno namna hiyo.
Kama wangeachana kwa wema unafikir jamaa hata angekuja kuomba ushauri amsaidie au laa.
Lakini unaona tatizo ni approach ya binti kumuacha jamaa ilikuwa kama vile hakuna siku atamuhitaji tena kitu ambacho kiubinadamu jamaa imemgusa Sana.
Nimekusoma
 
Back
Top Bottom