Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkubalie mrudiane ila kwa Sharti Kuu kuwa Gari yako itakuwa inapita katika barabara yake ya Vumbi tu inayoelekea kwa Mpalange.Jina lake linaanzia na M ni binti wa kaskazini mwa Tanzania mwenye level ya diploma katika upande wa elimu, Ni binti nilie mpenda kutoka moyoni, shida zake zote zilikuwa zangu niliakikisha anakuwa happy muda wote,
Nikaenda kujitambulisha kwa wazazi wake ndugu na jamaa zake, nikaanza kuweka mikakati ya kutaka kumuoa. Mwaka jana binti akadai anataka kwenda kusoma (kuongeza elimu) nikakubali kwa shingo upande sana sana sana (maana ada sikuwa nalipa mimi, ni wazazi wake), nilikubali uku nikiwa naona penzi na mipango ya ndoa ndio inaingia mchanga (kwa waliopita vyuoni nadhani mnaelewa ofu iliyokuwa inanitawala),
Binti akafika chuo mwaka wa kwanza hapa hapa jijini DASILAMU mabadiliko yakaanza kwenye semieter ya kwanza katikati, kiburi kikaanza, binti hakawa tena hataki mawasiliano na mimi, nikaanza kupata wakati mgumu sana maumivu ya kichwa juu ya penzi ilo yakaanza, ikabidi niingie chimbo kuanza kuchunguza ili niwe na majibu ya uhakika, loh salaaalee...binti kumbe alishapata mtu mpya chuoni, binti nikawa simuambii kitu tena akanisikiliza, binti nikawa simpigii simu akapokea, simtumii sms ikajibiwa, siku ya tarehe 14/02/2021 aliniambi ivi "WEWE NINI UMESAHAU KWANGU MBONA UJIONGEZI, EBU SEMA KUNA ULICHO ACHA NIKUPATIE ILI USIWE UNANITUMIA SMS NA KUNITAFUTA KWA SIMU ZAKO, NAOMBA NISEME IVI SIKUTAKI ILI UELEWE KAMA UMESHINDWA KUJIONGEZA NA WAAMBIE WOTE WANAOJUA MAHUSIANO YETU ITS OVER NOW NA WAAMBIE NDUGU ZAKO WASINISUMBUE PIA" nilibaki nimebung"aaa kama nimepigwa na shoti za umeme, nikatamka neno moja tu moyoni "mungu najua ntapita kwenye tanuru ili, na kila kitu juu ya aya maisha yangu unayo wewe, nashukuru umenibariki sana kufika hapa ngoja nifanye kazi kwa bidii ntapata wa kunifaa" Mawasiliano yakaishia hapo japo kwa maumivu makali mnooo.
Ilipita miezi kadhaa....Napokea simu kutoka kwa M akidai anataka tuongee, nikamsikiliza ilikuwa ni simu ya kutaka kuniomba msamaa kwa kilicho tokea, anadai ata yeye haelewi nini kilimpata (nikaona izi ni soud tu za mabinti wa kileo) nikamuambia tu sawa nilisha kusamehe muda tu na nakutakia kila lenye heri kwenye maisha yako na mtu wako mpya..
Ni binti ambaye maumivu yake bado yanaishi kwenye kumbukumbu ya maisha yangu mpaka ivi sasa,
Nadahani mnaelewa dunia ya sasa bila connection mambo yanakuwa magumu sana, nashukuru mungu mimi naishi vizuri sana na watu tofauti tofauti kwenye sector nyingi nina watu ambao kama ikitokea changamoto falani naweza wafata wakanisaidia kwa uharaka zaidi, na uyo binti analielewa ilo kabisa ameshapata changamoto nyingi uko nyuma ila nilikuwa natumia connection za watu nilio nao kusolve kwa uharaka kabisa.
Sasa uyu binti kwa sasa anasumbuliwa na changamoto flani flani amabyo anadai kama isipokuwa solved kuendelea kwakwe kwa shule kutakuwa na changamoto kubwa sana, iyo changamoto yake kwangu haitachukua ata siku mbili kuisolve kama nikichukua jukumu ilo la kumsaidia,
Baada ya kupata changamoto iyo kwa sasa ndio amekuwa akinitafuta na kuniomba niwe msaada wake.... sijawai kujibu sms zake ambazo kila akituma lazima aniombe nimsaidie kwenye ilo tatizo, sijawai pokea simu zake maana najua ataanza tu kunielezea ilo tatizo na mimi sikutaka kushughulika na mambo yake kwa sasa maana yupo kwenye mahusiano mengine.
Je wangwana wana jamiiforum wenzangu, watu wangu wa nguvu ambao tumeshawai kupitia changamoto za kuumizwa na walio tuumiza kesho wanataka msaada wetu mnashaurije kwenye ili maana bado nina kidonda moyoni
Note: nilikaa nae kwenye mahusiano miaka 4.
Karibuni kwa mawazo yenu wana JF.
Kitufe cha BLOCK kwenye simu hakikuwekwa kama urembo bloo kitumie sasaJina lake linaanzia na M ni binti wa kaskazini mwa Tanzania mwenye level ya diploma katika upande wa elimu, Ni binti nilie mpenda kutoka moyoni, shida zake zote zilikuwa zangu niliakikisha anakuwa happy muda wote,

okNYOKA ASHAKUGONGA !
ACHA APIGIKE ATESEKE SHAURI ZAKE
WE MZIMIE FEGI TU
OVA
Mkuu wewe huogopi peturoli🧨🧨 akija ndiyo firee🔥 firee🔥🔥Jina lake linaanzia na M ni binti wa kaskazini mwa Tanzania mwenye level ya diploma katika upande wa elimu, Ni binti nilie mpenda kutoka moyoni, shida zake zote zilikuwa zangu niliakikisha anakuwa happy muda wote,
Nikaenda kujitambulisha kwa wazazi wake ndugu na jamaa zake, nikaanza kuweka mikakati ya kutaka kumuoa. Mwaka jana binti akadai anataka kwenda kusoma (kuongeza elimu) nikakubali kwa shingo upande sana sana sana (maana ada sikuwa nalipa mimi, ni wazazi wake), nilikubali uku nikiwa naona penzi na mipango ya ndoa ndio inaingia mchanga (kwa waliopita vyuoni nadhani mnaelewa ofu iliyokuwa inanitawala),
Binti akafika chuo mwaka wa kwanza hapa hapa jijini DASILAMU mabadiliko yakaanza kwenye semieter ya kwanza katikati, kiburi kikaanza, binti hakawa tena hataki mawasiliano na mimi, nikaanza kupata wakati mgumu sana maumivu ya kichwa juu ya penzi ilo yakaanza, ikabidi niingie chimbo kuanza kuchunguza ili niwe na majibu ya uhakika, loh salaaalee...binti kumbe alishapata mtu mpya chuoni, binti nikawa simuambii kitu tena akanisikiliza, binti nikawa simpigii simu akapokea, simtumii sms ikajibiwa, siku ya tarehe 14/02/2021 aliniambi ivi "WEWE NINI UMESAHAU KWANGU MBONA UJIONGEZI, EBU SEMA KUNA ULICHO ACHA NIKUPATIE ILI USIWE UNANITUMIA SMS NA KUNITAFUTA KWA SIMU ZAKO, NAOMBA NISEME IVI SIKUTAKI ILI UELEWE KAMA UMESHINDWA KUJIONGEZA NA WAAMBIE WOTE WANAOJUA MAHUSIANO YETU ITS OVER NOW NA WAAMBIE NDUGU ZAKO WASINISUMBUE PIA" nilibaki nimebung"aaa kama nimepigwa na shoti za umeme, nikatamka neno moja tu moyoni "mungu najua ntapita kwenye tanuru ili, na kila kitu juu ya aya maisha yangu unayo wewe, nashukuru umenibariki sana kufika hapa ngoja nifanye kazi kwa bidii ntapata wa kunifaa" Mawasiliano yakaishia hapo japo kwa maumivu makali mnooo.
Ilipita miezi kadhaa....Napokea simu kutoka kwa M akidai anataka tuongee, nikamsikiliza ilikuwa ni simu ya kutaka kuniomba msamaa kwa kilicho tokea, anadai ata yeye haelewi nini kilimpata (nikaona izi ni soud tu za mabinti wa kileo) nikamuambia tu sawa nilisha kusamehe muda tu na nakutakia kila lenye heri kwenye maisha yako na mtu wako mpya..
Ni binti ambaye maumivu yake bado yanaishi kwenye kumbukumbu ya maisha yangu mpaka ivi sasa,
Nadahani mnaelewa dunia ya sasa bila connection mambo yanakuwa magumu sana, nashukuru mungu mimi naishi vizuri sana na watu tofauti tofauti kwenye sector nyingi nina watu ambao kama ikitokea changamoto falani naweza wafata wakanisaidia kwa uharaka zaidi, na uyo binti analielewa ilo kabisa ameshapata changamoto nyingi uko nyuma ila nilikuwa natumia connection za watu nilio nao kusolve kwa uharaka kabisa.
Sasa uyu binti kwa sasa anasumbuliwa na changamoto flani flani amabyo anadai kama isipokuwa solved kuendelea kwakwe kwa shule kutakuwa na changamoto kubwa sana, iyo changamoto yake kwangu haitachukua ata siku mbili kuisolve kama nikichukua jukumu ilo la kumsaidia,
Baada ya kupata changamoto iyo kwa sasa ndio amekuwa akinitafuta na kuniomba niwe msaada wake.... sijawai kujibu sms zake ambazo kila akituma lazima aniombe nimsaidie kwenye ilo tatizo, sijawai pokea simu zake maana najua ataanza tu kunielezea ilo tatizo na mimi sikutaka kushughulika na mambo yake kwa sasa maana yupo kwenye mahusiano mengine.
Je wangwana wana jamiiforum wenzangu, watu wangu wa nguvu ambao tumeshawai kupitia changamoto za kuumizwa na walio tuumiza kesho wanataka msaada wetu mnashaurije kwenye ili maana bado nina kidonda moyoni
Note: nilikaa nae kwenye mahusiano miaka 4.
Karibuni kwa mawazo yenu wana JF.
Pamoja. MkuuIsafishe nafsi yako kwa kuachia msamaha na alama ya mtu aliyesamehe ni kuwatendea wema wale waliotukosea......
Wanadamu ni viumbe wenye kubadilika badilika ndio maana hata Mungu anatuasa kuwa tunakubaliana jambo basi kuwe na mashahidi kwa kuwa kiumbe mwanadamu ana kawaida ya kubadili maamuzi......
Kama yeye amekubadilikia ndivyo ambavyo pengine na wewe ungembadilikia.....
Kama umeamua kumsamehe na kuendelea na maisha mengine basi hupaswi kumuwekea kinyongo na kama jambo lipo ndani ya uwezo wako wewe msaidie kwani Mungu pekee ndiye anayelipa wema na sio mwanadamu........
Kukubali kumsaidia kutatoa tafsiri kuwa umesamehe na kumsahau na umeamua kuendelea na maisha yako bila ya yeye na uwepo wako mbele ya macho yako haukupi shida...
Kukataa kumsaidia kunakutafsiri kuwa bado una kinyongo na upo kwenye mateso makali baada ya kuvunjika kwa mahusiano yenu...........
Vaa uanaume, jitoe kwenye tope la visasi na chuki achia upendo na ubinadamu na hiyo ndio fimbo na funzo kwa watesi wako.......
ReceivedIsafishe nafsi yako kwa kuachia msamaha na alama ya mtu aliyesamehe ni kuwatendea wema wale waliotukosea......
Wanadamu ni viumbe wenye kubadilika badilika ndio maana hata Mungu anatuasa kuwa tunakubaliana jambo basi kuwe na mashahidi kwa kuwa kiumbe mwanadamu ana kawaida ya kubadili maamuzi......
Kama yeye amekubadilikia ndivyo ambavyo pengine na wewe ungembadilikia.....
Kama umeamua kumsamehe na kuendelea na maisha mengine basi hupaswi kumuwekea kinyongo na kama jambo lipo ndani ya uwezo wako wewe msaidie kwani Mungu pekee ndiye anayelipa wema na sio mwanadamu........
Kukubali kumsaidia kutatoa tafsiri kuwa umesamehe na kumsahau na umeamua kuendelea na maisha yako bila ya yeye na uwepo wako mbele ya macho yako haukupi shida...
Kukataa kumsaidia kunakutafsiri kuwa bado una kinyongo na upo kwenye mateso makali baada ya kuvunjika kwa mahusiano yenu...........
Vaa uanaume, jitoe kwenye tope la visasi na chuki achia upendo na ubinadamu na hiyo ndio fimbo na funzo kwa watesi wako.......
OK nimekuelewaulikuwa na mpenzi malaya na amekuzidi ujanja. japo manzi huwa hawaioni hii principle "wanawake mwalimu wao kipofu."
OkBinafsi naona km lipo ndani ya uwezo wako na halikucost kuweza kulitatua just do it, msaidie tu. Ila kwa swala la kurudiana nae usiruhusu hata kidogo, tena ukishamaliza kumsaidia mblock kabisa akafie mbele.
OkMsaidie tu ka unatoa sadaka ila usirudiane, haya maisha tu you never know one day atakuja kukusaidia na wewe
Popoma huu ni ushauriMkubalie mrudiane ila kwa Sharti Kuu kuwa Gari yako itakuwa inapita katika barabara yake ya Vumbi tu inayoelekea kwa Mpalange.
Mrudishie hio sms aliyokutumia alipokuacha.Jina lake linaanzia na M ni binti wa kaskazini mwa Tanzania mwenye level ya diploma katika upande wa elimu, Ni binti nilie mpenda kutoka moyoni, shida zake zote zilikuwa zangu niliakikisha anakuwa happy muda wote,
Nikaenda kujitambulisha kwa wazazi wake ndugu na jamaa zake, nikaanza kuweka mikakati ya kutaka kumuoa. Mwaka jana binti akadai anataka kwenda kusoma (kuongeza elimu) nikakubali kwa shingo upande sana sana sana (maana ada sikuwa nalipa mimi, ni wazazi wake), nilikubali uku nikiwa naona penzi na mipango ya ndoa ndio inaingia mchanga (kwa waliopita vyuoni nadhani mnaelewa ofu iliyokuwa inanitawala),
Binti akafika chuo mwaka wa kwanza hapa hapa jijini DASILAMU mabadiliko yakaanza kwenye semieter ya kwanza katikati, kiburi kikaanza, binti hakawa tena hataki mawasiliano na mimi, nikaanza kupata wakati mgumu sana maumivu ya kichwa juu ya penzi ilo yakaanza, ikabidi niingie chimbo kuanza kuchunguza ili niwe na majibu ya uhakika, loh salaaalee...binti kumbe alishapata mtu mpya chuoni, binti nikawa simuambii kitu tena akanisikiliza, binti nikawa simpigii simu akapokea, simtumii sms ikajibiwa, siku ya tarehe 14/02/2021 aliniambi ivi "WEWE NINI UMESAHAU KWANGU MBONA UJIONGEZI, EBU SEMA KUNA ULICHO ACHA NIKUPATIE ILI USIWE UNANITUMIA SMS NA KUNITAFUTA KWA SIMU ZAKO, NAOMBA NISEME IVI SIKUTAKI ILI UELEWE KAMA UMESHINDWA KUJIONGEZA NA WAAMBIE WOTE WANAOJUA MAHUSIANO YETU ITS OVER NOW NA WAAMBIE NDUGU ZAKO WASINISUMBUE PIA" nilibaki nimebung"aaa kama nimepigwa na shoti za umeme, nikatamka neno moja tu moyoni "mungu najua ntapita kwenye tanuru ili, na kila kitu juu ya aya maisha yangu unayo wewe, nashukuru umenibariki sana kufika hapa ngoja nifanye kazi kwa bidii ntapata wa kunifaa" Mawasiliano yakaishia hapo japo kwa maumivu makali mnooo.
Ilipita miezi kadhaa....Napokea simu kutoka kwa M akidai anataka tuongee, nikamsikiliza ilikuwa ni simu ya kutaka kuniomba msamaa kwa kilicho tokea, anadai ata yeye haelewi nini kilimpata (nikaona izi ni soud tu za mabinti wa kileo) nikamuambia tu sawa nilisha kusamehe muda tu na nakutakia kila lenye heri kwenye maisha yako na mtu wako mpya..
Ni binti ambaye maumivu yake bado yanaishi kwenye kumbukumbu ya maisha yangu mpaka ivi sasa,
Nadahani mnaelewa dunia ya sasa bila connection mambo yanakuwa magumu sana, nashukuru mungu mimi naishi vizuri sana na watu tofauti tofauti kwenye sector nyingi nina watu ambao kama ikitokea changamoto falani naweza wafata wakanisaidia kwa uharaka zaidi, na uyo binti analielewa ilo kabisa ameshapata changamoto nyingi uko nyuma ila nilikuwa natumia connection za watu nilio nao kusolve kwa uharaka kabisa.
Sasa uyu binti kwa sasa anasumbuliwa na changamoto flani flani amabyo anadai kama isipokuwa solved kuendelea kwakwe kwa shule kutakuwa na changamoto kubwa sana, iyo changamoto yake kwangu haitachukua ata siku mbili kuisolve kama nikichukua jukumu ilo la kumsaidia,
Baada ya kupata changamoto iyo kwa sasa ndio amekuwa akinitafuta na kuniomba niwe msaada wake.... sijawai kujibu sms zake ambazo kila akituma lazima aniombe nimsaidie kwenye ilo tatizo, sijawai pokea simu zake maana najua ataanza tu kunielezea ilo tatizo na mimi sikutaka kushughulika na mambo yake kwa sasa maana yupo kwenye mahusiano mengine.
Je wangwana wana jamiiforum wenzangu, watu wangu wa nguvu ambao tumeshawai kupitia changamoto za kuumizwa na walio tuumiza kesho wanataka msaada wetu mnashaurije kwenye ili maana bado nina kidonda moyoni
Note: nilikaa nae kwenye mahusiano miaka 4.
Karibuni kwa mawazo yenu wana JF.
Toa msaada wema hauozi bana, duniani tuliletwa tusaidie watu, pia huyu kakufundisha mahusiano yalivo. Na dunia ilivo ya ajabu IPO siku aweza kuja kukuokoa. Wewe msaidie ila kata mazoea naye utashangaa utapata armani moyoni
OkMrudishie hio sms aliyokutumia alipokuacha.
mwambie akusomee kwa nguvu.. She will know what you mean