Aliniacha kwa fedheha, lakini leo anahitaji msaada wangu

Mkubalie mrudiane ila kwa Sharti Kuu kuwa Gari yako itakuwa inapita katika barabara yake ya Vumbi tu inayoelekea kwa Mpalange.
 
Kitufe cha BLOCK kwenye simu hakikuwekwa kama urembo bloo kitumie sasa
 
Isafishe nafsi yako kwa kuachia msamaha na alama ya mtu aliyesamehe ni kuwatendea wema wale waliotukosea......

Wanadamu ni viumbe wenye kubadilika badilika ndio maana hata Mungu anatuasa kuwa tunakubaliana jambo basi kuwe na mashahidi kwa kuwa kiumbe mwanadamu ana kawaida ya kubadili maamuzi......

Kama yeye amekubadilikia ndivyo ambavyo pengine na wewe ungembadilikia.....

Kama umeamua kumsamehe na kuendelea na maisha mengine basi hupaswi kumuwekea kinyongo na kama jambo lipo ndani ya uwezo wako wewe msaidie kwani Mungu pekee ndiye anayelipa wema na sio mwanadamu........

Kukubali kumsaidia kutatoa tafsiri kuwa umesamehe na kumsahau na umeamua kuendelea na maisha yako bila ya yeye na uwepo wako mbele ya macho yako haukupi shida...

Kukataa kumsaidia kunakutafsiri kuwa bado una kinyongo na upo kwenye mateso makali baada ya kuvunjika kwa mahusiano yenu...........

Vaa uanaume, jitoe kwenye tope la visasi na chuki achia upendo na ubinadamu na hiyo ndio fimbo na funzo kwa watesi wako.......
 
Mkuu wewe huogopi peturoli🧨🧨 akija ndiyo firee🔥 firee🔥🔥
 
Pamoja. Mkuu
 
Received
 
Mrudishie hio sms aliyokutumia alipokuacha.

mwambie akusomee kwa nguvu.. She will know what you mean
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…