Aliniacha kwa fedheha, lakini leo anahitaji msaada wangu

Mkuu unaota ,akimsaidia ni kwa mtaji upi?
Dont confuse love na sympthy kama ambavyo wengi wanaingia huo mtego.
 
Mzee wewe kaa kimya wala usijbu na jiangalie sana maana mtu uliyempenda anachance kubwa sana ya kuweza kukushawishi na kukuingiza tena kwenye mambo ya hoyo halafu unajuta baadae
2, Mjibu sina uwezo wa kukusaidia kwisha kazi
Ok nimekuelewa
 
Leo tarehe 30 Julai, 2021
Petroli lita moja ni 2405/=
Diesel lita moja ni 2245/=
Mafuta ya taa ndio sijui bei gani?
 
KWENYE MASUALA HAYO HAKUNAGA MSAMAHA...
KESHO KUTWA AKIRUDI TUKIO LITAJIRUDIA
WATAKUJA TIANA KIBIRITI
HUYO MWANAMKE KAPIGIKA NDY ANATAKA KURUDI
HUYU MLETA MADA ASONGE MBELEEE TU

OVA
Sijamaanisha kuwa amsamehe na warudiane bali amsamehe na yeye aendelee na maisha yake lakini aondoe vinyongo moyoni mwake......kama yupo kwenye nafasi ya kumsaidia amsaidie kibinadamu....
 
Ushauri gani unautaka? Una akili kweli wewe? Hilo sio la kuomba ushauri. Achana naye [emoji817]%. Yeye wakati anakuacha na maneno na dharau juu alikuonea huruma? Wewe ni mjinga, acha ujinga.
 
Mkuu pale hakuna penzi, kama ni kumsaidia heri msomeshe dada yako, atakushukuru zaidi maishani.

Huyo binti hakukupenda toka mwanzo, moyo wake haupo kwako, sasa ukimsaidia na tatizo lake likiisha ndiyo atakupenda?
Dont make the mistake hata akikupa vituuuuz!
 
Sijamaanisha kuwa amsamehe na warudiane bali amsamehe na yeye aendelee na maisha yake lakini aondoe vinyongo moyoni mwake......kama yupo kwenye nafasi ya kumsaidia amsaidie kibinadamu....
Mkuu sawa
Ila hata kumsaidia kiubinadam aachane nayeee
Mtego huooo

Ova
 
Ushauri gani unautaka? Una akili kweli wewe? Hilo sio la kuomba ushauri. Achana naye [emoji817]%. Yeye wakati anakuacha na maneno na dharau juu alikuonea huruma? Wewe ni mjinga, acha ujinga.
Kweli kabisa

Ova
 
Na mimi nimelewa hivi hivi...
Jamani,huyu jamaa bado anampenda huyu mwanamke na atamsaidia na atatupwa tena,muacheni apambane na hali yake..ila kwa maelezo yake inaonekana mwanamke hakumpenda jamaa,alikuwa tu hajakutana na mtu wake!
 
Mkuu sawa
Ila hata kumsaidia kiubinadam aachane nayeee
Mtego huooo

Ova
Jambo la mahusiano ni jambo endelevu kwenye mzunguko wa maisha ya mwanadamu.......

Lazima ujifunze kuyapokea mambo vile yanavyokujia kwa uhalisia wake ili maisha yaendelee......punguza matarajio yaliyopitiliza dhidi ya wanadamu.......

Vyovyote iwavyo unapaswa kuheshimu mawazo na maamuzi yake kama ambavyo wewe ungeamua kuachana na yeye.........

Katika hali yoyote kuachana si ishara ya uaudi bali ni mwisho wa uhusiano wenu na mwisho wa jambo unakuja kwa Sura nyingi sana........

Unachotakiwa ni kusonga mbele na maisha yako kwa kuwa kuna maisha mengine nje ya mahusiano.....

Waswahili wanasema
Asiokufaa kwa hili basi atakufaa kwa lile.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…