Aliniacha kwa fedheha, lakini leo anahitaji msaada wangu

no
Noted
 
Jina lake linaanzia na M ni binti wa kaskazini mwa Tanzania mwenye level ya diploma katika upande wa elimu.

Ni binti nilie mpenda kutoka moyoni, shida zake zote zilikuwa zangu niliakikisha anakuwa happy muda wote.
Msaidie kama mtu mwingine wa kawaida but usirudishe uhusiano
 
Tenda wema nenda zako, kamwe usilipize baya kwa baya. Hatuijui kesho yetu hivyo kama uko kwenye nafasi ya kumsaidi msaidie tu.
 
Kweli, amsaidie halafu asimkumbushe chochote kwamba hoo nilikupenda sana, mara unanikumbuka kwa shida, toa msaada halafu kausha. Kwa kumfanyia mtu wema aliyekufanyia ubaya unapata thawabu mara dufu.
 
Kweli, amsaidie halafu asimkumbushe chochote kwamba hoo nilikupenda sana, mara unanikumbuka kwa shida, toa msaada halafu kausha. Kwa kumfanyia mtu wema aliyekufanyia ubaya unapata thawabu mara dufu.
Ataleta mazoea
 
Kuna vitu vingine sio vyakuomba ushauri hata tahira anaweza kukuambia achana nae
 
Sasa huyo si utoto mie na jamaa yangu kanifanyia mambo worse but we chat na nimesamehe na nimemtendea wema yeye ndo anaumia wakati Nina amani. Mpenzi wako hata ka numeachana kumkomoa kisa misunderstood huwa naona lack of maturity.
 
KAMA UNACHOSEMA KINA UKWELI!!!

BASI ACHANA NAYE MKATIE LINE
ACHANA NAYE WALA USIPOKEEE
SIM YAKE AU KUJIBU SMS ZAKE

ova
Bro mimi nahisi nina kisasi cha upendo, mtu kama huyo nitamsaidia sana, lkn mwisho wasiku nitamwachia deni la maumivu akijiadhibu mwenyewe na sio mimi
 
Wanaume tumefika hapa tulipo kwa sababu ya hurusa za kijinga, usitoe msaada wowote kwa huyo simbilisi
 
achana na hiyo ndezi kabisa kausha hivyo hivyo ili ajue makosa yake yeye si ndio alianza
 
Yes! Kibinadamu tu!

Sent from my TECNO WX3 using JamiiForums mobile app
 
Sijakuelewa unaposema Bongo bila connection ni ngumu, kwenye issue gani sasa? Kwani huyo binti anahitaji msaada wa kiuchumi au ni issue nyingine tu muhimu?

Sent from my TECNO WX3 using JamiiForums mobile app
 
Yes!

Sent from my TECNO WX3 using JamiiForums mobile app
 
Yes! Nafurahi kukutana na comment zenye akili kama hizi.

Sent from my TECNO WX3 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…