Wewe nimekuita kule jf doctor mbona unachomoa
Yani uniite wewe nisikuitike? Ntathubutuje kwa mfano? Natumia simu mwaego supati notifications..... ngoja nikakutafute mwaya
Unataka kiingeraza au unataka papuchi? hujasomeka mkuu,
kama wataka kiingereza nenda kwa ras simba
wacha uboya papuchi haina vidato wala phd