Alinichoma nikafumaniwa na Mwanamke wangu, nimelipiza kisasi kikamilifu

Umeanza vizuri mwishoni umeandika usenge
 
We mkinga tumia akili kuna msemo unasema ombea bahati sio uzuri

Kupata danga la chap chap la kukupa biashara ya mtaji 30M sio rahisi kama unavyofikiria
Sasa km anamiliki danga la 30m atakosa vipi danga 50m 😹😹
Huyo ana hesabu kali sio fallah..!!
 
Kikubwa huyo mwanamke na yeye kachongewa, mambo ya kusema una umia au huumii hiyo utajua mwenyewe.

Kama ulivyosema Ubaya Ubwela tuishie hapo.
Sasa unashindana na mwanamke 😹
Kaachwa huyo anakuja mwingine na bado mwarabu atarudi Valentine’s Day na maua na iPhone ya kuombea msamaha..!! 🤣 pole weyee
 
Kumbe huwa mnajidanganya hivyo?
Ukiwa upo ndoani au na mshikaji anakuhudumia unaona wanaokutongoza wote wazuri. Achika uone
Huyo sio mumewe ni danga, so muda wowote lingemuacha solemba…!!

Huyo dada ni mjasilia chiu, sasa kumpangia nani awe wake permanent ni kumkosea..!!

kwanza wanaume mnanishangaza, mnaacha kumsema huyo mume wa mtu asiyetulia na ndoa yake, au Mr chaunabe aliyepigwa upepo wa bodaboda kigamboni to ubungo-mbweni kwenda kumsumbua mwanaume mwenzie kwa mkewe wa ndoa, nyie mnasikia wivu kwa binti anayetumia urithi wa bibi yake.!! Mna akili kweli? 😹😹😹

Haya wote kwa umoja wenu mfanywe nyie michepuko ya mwarabu 🤣
 
Tafuta sehemu ambapo wanawake wanajiuza. Wanauza K kama bidhaa zingine na wapo busy na biashara utafikiri ni biashara halali
Wanawake huwa wanaolewa hata 30 kwahiyo huyo mwaarabu dini yake inaruhusu kuwa na mwanamke zaidi ya mmoja
Ukiona mwanaume anakuhudumia kwa kila kitu. Mpe heshima yake
 
hahaha hiyo inaitwa jino kwa jino, umeinchekesha sana kijana.
Nenda kamuombe msamaha sasa yule mchumba wako atakusamehe hasira imeshamuisha na mchawi keshahama
 
Sasa unashindana na mwanamke 😹
Kaachwa huyo anakuja mwingine na bado mwarabu atarudi Valentine’s Day na maua na iPhone ya kuombea msamaha..!! 🤣 pole weyee
Valentine's Day hiyo ni future tense, tuna ongelea present tense. Kumbuka tayari ameweka demu muarabu kama yeye na vitu katoa vyote kuondoa nuksi.
Ubaya Ubwela ukitaka kujua na wewe jaribu api ulipo. Haribu mahusiano a ndoa za watu alafu upate dawa yako.
 
Makasiriko ya nini, fanya watu na wewe ufanyiwe, iko hivyo tuu. Ubaya ubwela
Kapigwa na upepo mwisho wa boda mpaka mbweni la mwisho wa siku katulia na laki 2 yake mkononi.

Infact kwa sasa moyo wake uko huru na amani, wewe usilete mambo ya uwanaume a uwanawake, Kula za macho tuliza mshono.
 
😹😹😹 Atapata mwingine.!
Ila wanaume muache umbea mtavalishwa vijora.!!
 
😹😹😹 Kwahiyo umefurahi yeye kupewa laki 2!!
Ipo siku atatamani zaidi ya hiyo laki 2 na mwisho atataka hizo huduma za mwarabu apewe yeye..!! Tupo hapa
 
kuna idadi kubwa sana ya wanaume wana tabia za kike kabisa, hawana tofauti na wasutaji, na wale wambeya wa uswahilini, sasa huyu anakuja kutuletea namna anavyoshindana na mwanamke, tumtofautishaje na DR KUMBUKA sasa? waunde chama chao tu ili kama kuwasaidia tuwasaidie kwa pamoja. hiyo effort aliyoitumia angetumia kutafuta pesa ingemsaidia, though wote wawili ni wazinzi tu.
 
Mume wa mtu apewe heshima gani? Kama kashindwa kuiheshimu ndoa yake na mkewe hakuna wa kumuheshimu..!! 😹😹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…