Alinichoma nikafumaniwa na Mwanamke wangu, nimelipiza kisasi kikamilifu

Alinichoma nikafumaniwa na Mwanamke wangu, nimelipiza kisasi kikamilifu

Duuh,. Means mpaka umeleta mwanamke mwingine ndani umuhofii mpenzi wako ( shortly humpendi )
Muendage tu Lodge huko mkuu wengine tuna hasira za mizimu ya mababu mtakuja mfe😂😂
Pa kumpeleka tunatofautiana mtizamo, wengine popote kambi wengine lodge....Ila kama mm nikashaspot wa malengo bas hatashare kitanda na mtu mwngn
 
Umefeli sehemu moja tu, ulipaswa umkaze huyo demu mbea mbea hapo kisasi ndio kingekuwa kizuri
 
HIvi inakuwaga shida nini kuwa na mpenzi zaidi ya mmoja,. Niambie kwanza nijue
Direct kusema sababu ni hii takudanganya bure maana tunatofautiana, lakini mambo yanakua mengi wengine wanakua wananyimwa na mabebi zao, wengine umbali unakuta mdada upo songea mshkaji yupo tabata, mda mwingine uchumi michongo ikikubali ny3ng3 nayo inakua inakereketa sana, mda mwingine ukiwa kwenye mahusiano ndo unapata sana mademu wa nje na wanakua hawakazi & mda mwingine inakua hobby tu ya kupata flavour mpya
 
😹😹😹 Ubaya ubwela
Unaacha na wewe kupiga huyo manzi wa mwarabu eti unamchongea..!!

Aliyekudanganya mwanamke anakomolewa kwa kuchongewa nani? Kesho tu anapata sponsor mwingine, kwanza haimuumi sio mumewe hata akimuacha hana cha kupoteza..!! 😹
Kumbe huwa mnajidanganya hivyo?
Ukiwa upo ndoani au na mshikaji anakuhudumia unaona wanaokutongoza wote wazuri. Achika uone
 
Kaazi kweli kweli......

Kigamboni To mbweni!

Huyo mwarabu siku akimiss penzi la bibiye na kumuhadithia masahibu hayo ....... Kaazi kweli kweli.....
 
Kaazi kweli kweli......

Kigamboni To mbweni!

Huyo mwarabu siku akimiss penzi la bibiye na kumuhadithia masahibu hayo ....... Kaazi kweli kweli.....
Chumba kashamuweka mwanamke wa kiarabu full stop
 
Ni umbea kwa umbea tu, sababu hakuna namna au shetani wa uzinzi atashinda vita.
 
Daaaa hongera kumbekweli...? Kigamboni to mbweni khaaa saa 4 Usiku....ulirudi saa ngapi ?? Walinzi huwa hawakunali kukupa info boss zao .....wewe uliwezaje kukupeleka kwa boss ??
Nimeacha kusoma adiposema kigamboni to mbweni saa nne usiku.
 
Kisasi halisi ilitakiwa umle huyo demu wa kirangi
Ila iki ulichokifanya umekosea sana kama mwanaume,hizi mbanga za kusafirisha maneno waachie wakina Amina ndala ndefu.
 
Wanaume wa Dar eti Nimemchoma dem wa mtu kwa bwana Ake Duh huo muda sijui unaupta wapi kuhangaika na mapenzi ya watu inawezekana bado hujapata Familia ukikuwa utaacha, ila Ukiendelea hiyo tabia sio nzuri kwa Mwanaume Anayejitambua
 
Kisiwan duka la perfume la 30m halipo,na halijawahi kuwepo
 
Back
Top Bottom