SISIS
JF-Expert Member
- Jan 14, 2019
- 10,892
- 3,112
- Thread starter
- #121
KabisaMimi naona umefanya jambo sahihi kabisa kwa kuwa huyo mwanamke hujamzushia ni kweli kaingiza mwanaume ndani......
Hao wanaosema hayakuhusu achana nao na ndio hao hao wanaleta nyuzi humu kulalamikia wanawake zao.....
Kumhudumia mwanamke ni jambo kubwa sana linalotaka heshima.....kumleta mwanaume sehemu unayolala na mwanaume wako ni dharau za kiwango kikubwa
Hata kama unaonekana mbeya haina shida lakini umemuokoa mwanaume mwenzio kwenye dhahama..........
Kama na yeye alidiriki kufanya yasiyo mhusu ili kukuharibia basi na wewe umefanya jambo la maana......
Yeye katumia umalaya wako kukuachanisha na mpenzi wako na wewe ukatumia umalaya wake kumuachanisha......