Alinichoma nikafumaniwa na Mwanamke wangu, nimelipiza kisasi kikamilifu

Alinichoma nikafumaniwa na Mwanamke wangu, nimelipiza kisasi kikamilifu

Hapo kwa kurudi kaongeza chumvi bana.!!
Pisi ishazoea kula bata ghafla eti ibebe mabegi ikubali kurudi mbwinde Thubutuuu.!!

Hapo kahamia kwa buzi lake lingine 😹
labda nikuulize swali, hapo mwanamke alikuwa anahitaji nini? maana muda mwingine hamueleweki, umepangiwa nyumba, biashara na mapenzi unapewa bado unaleta mwanaume mule mule kwenye hiyo nyumba
 
labda nikuulize swali, hapo mwanamke alikuwa anahitaji nini? maana muda mwingine hamueleweki, umepangiwa nyumba, biashara na mapenzi unapewa bado unaleta mwanaume mule mule kwenye hiyo nyumba
Kupanua wigo wa wateja wake 😹

Kwani hao wote si wanaume za watu, sasa kwann apoteze muda kuwafanya mume wa ndoa?!!
 
😹😹😹 Ubaya ubwela
Unaacha na wewe kupiga huyo manzi wa mwarabu eti unamchongea..!!

Aliyekudanganya mwanamke anakomolewa kwa kuchongewa nani? Kesho tu anapata sponsor mwingine, kwanza haimuumi sio mumewe hata akimuacha hana cha kupoteza..!! 😹
Ubaya ubwela. Mission ishakamilika
 
Wala sijaumia ila nimesikitika kuona mwanaume anakuwa mmbea..!! Au wewe unaona kawaida?
Huyu siyo mbea! Bali alikuwa anaumizwa na alichotendewa na yule dada wa mwarabu "NILIKUWA NAJIULIZA NANI KANICHOMA",kalipiza tu kisasi,ili na mdada naye apate maumivu.
 
Huyu siyo mbea! Bali alikuwa anaumizwa na alichotendewa na yule dada wa mwarabu "NILIKUWA NAJIULIZA NANI KANICHOMA",kalipiza tu kisasi,ili na mdada naye apate maumivu.
Huyo ni mmbea by professional wala usimtetee 😹😹
We kitendo cha kutafuta bodaboda usiku kutoka kigamboni mpk ubungo kisha mbweni kwenda kupeleka umbea kwa mume wa mtu usiku unafikiri mchezo??
 
Daaaa hongera kumbekweli...? Kigamboni to mbweni khaaa saa 4 Usiku....ulirudi saa ngapi ?? Walinzi huwa hawakunali kukupa info boss zao .....wewe uliwezaje kukupeleka kwa boss ??
Mlinzi kaacha lindo kwa Elfu 30 😂,chakushangaza Kaenda kulekule kwa bosi wake.
Ongeza Gahawa ☕️☕️☕️☕️
 
Huyo ni mmbea by professional wala usimtetee 😹😹
We kitendo cha kutafuta bodaboda usiku kutoka kigamboni mpk ubungo kisha mbweni kwenda kupeleka umbea kwa mume wa mtu usiku unafikiri mchezo??
Unaweza ukawa sahihi kwa mtazamo wako, ila huyu mdau;alimpenda sana mwanamk wake,gharama,zaidi inaonekana alidhalilishwa sana siku ya fumanizi. Mwishowe ndiy haya aliyoyatenda "SO CALLED MBEA"
 
Back
Top Bottom