Chief Wingia
JF-Expert Member
- Jul 12, 2013
- 2,653
- 4,744
Ningekuwa mimi ningeomba mbunye niitandike
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani kaweza kupata wote hao, aje kushindwa kumpata mwingine km hao?!!huko ni kujifariji sasa, haimuumi vipi sasa, kashapoteza biashara aliyokuwa amefunguliwa anarudi kwenye chama cha jobless, huko kijijini atapata sponsor muuza mazao
Kwa mwandiko huu kuwa makini usijeleft group"Nikampa umbea wote na ushahidi wa video kuwa Dem wako yupo na mwamba ndani anapiga jamaa akachanganyikiwa ikabidi awashe gari turudi kigamboni,akashuhudie mwenyewe, ile kufika tu kweli akakuta Gari imepaki ndani na kuna mwamba ndani anamshuhulikia mwanamke wake kisawasawa"
[emoji23]Kwangu mm ulichofanya ni sahihi kabisa, amekuachanisha na mtu uliyemtolea mahari kabisa, kumgonga hakuwezi kumrudisha mtu uliyempenda. So ukiua kwa upanga utakufa kwa upanga. Na yeye ajisikie radha ya kuchongea watu
Anyway, hiyo laki mbili ya mwarabu, kata gharama ulizotumia kumfuata. Inayobaki yote nunua gauni zuri linalokutosha na mafuta ya mgando, then hamia kwa bwana ako
Mwamba we nomaUshahidi naweka
Jamaa yetu kapuyanga bwanaa,Kigamboni to Mbweni kupeleka umbea?Mimi nawaza alisemaje kwa huyu mwarabu?Yani kaweza kupata wote hao, aje kushindwa kumpata mwingine km hao?!!
Kwanza huyo mwarabu anaombwa msamaha anarudisha majeshi, yeye mwenyewe ana mke..!!
Kwa Hivyo Alivyomchongea Yeye Kwa Mchumba Wake Ilikuwa Roho Safi? Mbona Mna Watetea Sana Hawa Malaya?Hiyo Inaitwa Akikupiga Ngumi Ya Sikio We Mpige Ya Jicho.Kama sio chai jamaa una mambo ya kike na una roho mbaya,,,, kaumbea mbea kamekujaa !
Unampelekea umbea mwarabu imagine 😹😹Jamaa yetu kapuyanga bwanaa,Kigamboni to Mbweni kupeleka umbea?Mimi nawaza alisemaje kwa huyu mwarabu?
Katuaibisha sana mjinga huyu,FikiriaUnampelekea umbea mwarabu imagine 😹😹
Mwisho mwarabu ahisi anamtaka yeye ndo ampindue mchepuko wake, si unajua mwarabu wa mafuta hachagui pa kuchomeka kuni 🤣