Alinidanganya kuwa mumewe alikufa kwa stroke kumbe ngoma

Hii ni kweli kabisa...mwanaume kila chupi unataka uifunue, lazima unasishwe na bacteria [emoji848]
 
Mi navitafutaga pharmacy nakosa![emoji848]
 
[emoji134][emoji134]

Ukimwi is real asee!
 
Mate ya percentage ndogo ya virusi kulinganisha na sperms na damu.
Hata sperm content pia huwa ina kiwango kidogo cha virusi, ishu ni mchubuko na damu kugusana at the end kupata ukimwi si rahisi hivyo mimi niliponea chupuchupu kuambukizwa na binti mmoja nakumbuka siku hiyo nilikuwa nimelewa chakari na ilipigwa show the whole night na sikutumia protection ila nilitoka mzima.

Na kumbuka kwenye mapenzi kuna mambo mengi kama kissing n etc ila nilitoka salama salimini na mwanzo nilijua tayari nipo kwenye reli ila baada ya muda kupita nikaja gundua niko salama.

From there on nikawa nachukua tahadhari ila si kwa asilimia 100 maana unaweza kutana na mdada/mmama wakati wa mchezo unachomoa condom unadumbukiza nyama kama ilivyo na bado niko salama.

Sema around this time nikaona si vibaya, nikajinunulia rapid test zangu kabla ya kudumbukiza nyama nahakikisha nakupima ndio mambo mengine yanaendelea.

Ila nimekuja gundua kitu kupata ukimwi si kitu rahisi kama watu wanavyosema, ingekuwa ni rahisi na hakika nusu ya watanzania wangekuwa ni waathirika maana wanapenda ngono kuliko kazi.
 
Tafiti zinaonesha ukimwi umeshika kasi sana kwa mabinti age 18 hadi 30. Yaaani kundi hili ni balaa. Wengine wamezaliwa nao ndio wamefikia makamo ya kuanza kuzaa na mabinti wanadanga sana. Clinic kupima ni lazima hivyo takwimu zinatisha

Nafikiri wa kuzaliwa nao ni kwa % kidogo sana, wengi ni hawa maji mara moja watoto wamekuwa hawana uoga kabisa. Mtoto mdogo lakini mambo yake hayakamatiki[emoji27].
 
Naam nampata Fela ila kijana wake simfahamu, Fela kuti nasikia alikuwa na wanawake wengi sana yule ni kweli umeme sio mchezo !!!
 
naam nampata Fela ila kijana wake simfahamu, Fela kuti nasikia alikuwa na wanawake wengi sana yule
ni kweli umeme sio mchezo !!!
Ni kweli alikuwa na wanawake wengi na pesa alikuwa nayo,na umaarufu vilevile mana alikuwa ametokea familia maarufu. Akaongezea na kipaji chake so wanawake kwao alikuwa ulimbo na ngwengwe hakuikwepa. Alifariki akiwa kwenye 50's bado kabisa.
 
Fafanua kidogo tupate elimu mkuu
Amemaanisha kuwa mabint wengi wabichi ambao wnaume wengi tunapenda kuwakimbilia ndo walioubeba Ukimwi, wengi wao hawajazaa au ndo kaanza kuzaa!

Wengi huwa tunadanganyika kuzani kuwa hawajaliwa sana na hivyo kuamini kuwa ni salama kuliko wenye watoto wengi kumbe ndo hatari kuliko hatari!
 
Hongera mkuu, shukuru sana Mungu wako, hakuna aliyeupata UKIMWI akijijua kuwa anaenda kuupata! Tumshkuru na kumuombea zaidi mgunduzi wa vidonge vya kufubaza makali ya virusi vya ukimwi kwani mbali ya kumrudishia mwathirika afya yake nzuri vinapunguza pia maambukizi mapya!

Ile miaka ya 80 na 90, ilikuwa mtu ukimgusa tu mwathirika kwa shughuli ya papuchi umeondoka nao!

Hata hivyo ifike mahala wanaume tuombe tu muafaka na wake zetu kuoa wake wawili walio salama kiafya kwasababu ukweli mke mmoja hatoshi!
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mie nimeshawahi kumkimbia mrembo kweli kweli wakati huo mimi na kinga mbali mbali kabisa halafu yule mrembo Caroline alitokea kunipenda sana. Kutokana na uzuri w
Una bahati sana best, weeeee na sasa kama usingemuona huyo wa BMW? please bado nakuhitaji kukuona hapa jukwaani, tumia kinga ukishindwa acha kabisaaaaaaaaaaaaa

Kwani ni chakula, maji au hewa useme lazima?

Hahahahhahahahah niache mimi naogopa hii kitu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…