Alinifanyia kiburi nikamuonyesha ujeuri. The rest is history

Ukikua utaacha.
 
Hakika,
sema yataka Moyo kwa mwanaume type ya mtoa mada
😁 mimi nipo kama yeye!
Silazimishi mapenzi silazimishi mtu akae na mimi! Na nikipenda napenda kwa dhati! Nikimwendea mwanamke naenda kwa kumaanisha.

Sijui mwanamke kachomoa nianze kumbembeleza kwangu haipo hiyo! Nasonga mbele naendelea na mishe zangu! Huwa siwezi ku seek attention na mtu ambaye hana attention na mimi.

Kwa mwanaume kama mwanamke kachomoa songa mbele tu! Ukikomaa naye atakupotezea muda wako, pesa yako na your resources kwa ujumla.

Songa mbele, atakayekupenda kama ulivyo atatokea. Na kama huyo mwanamke anayekuletea maringo akirudi kwako mbeleni ni uamuzi wako ufanyaje mwenyewe!
 
Ungeendelea na kingreza chako ningeachia para ya kwanza.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]nimecheka sanaaaaa
 
Watoto wa mboga sana bwana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kuchomeshwa mahindi kawaida sana kwa mwanaume, wewe una element za ukike.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Kuna mambo 4 Kama mwanaume unapaswa kuyajua
1.Wanaume tunatamani Kwanza
2. Wanawake wanapenda baadae
3. Ukizidisha attention,unazd kumkosa,
4. Akishakupenda, usipompa attention anachanganyikiwa
damn true it works like that
 
Watoto wa mboga sana bwana🤣🤣🤣

Kuchomeshwa mahindi kawaida sana kwa mwanaume, wewe una element za ukike.
bro i dont agree with you, usivumilie huo ujinga wa wanawake. Juzi kati nipo kwenye grupu la whatsap la Soni Lushoto, kuna members wapya walikuwa added ikabidi wajitambulishe kwa kutuma picha.

Moja ya member yupo mkoa mmoja na mimi though ni wa huko Soni Lushoto, nika quote sms yake nikareply privately, kaja kunijibu badae, kwann umenifata inbox siungeulizia kulekule, nikaona sio shida nikarudi kwenye kundi tukachatia kule then nikamrudisha DM , nikamuuliza ulihisi nakutaka??? Akajibu kwani mwanamke kutakwa ni jambo la ajabu nikasema sio ajabu , hapo hapo kanitumia video ina mb 13 wakat naendelea download sijaplay akafuta lakini video inaonesha alikuwa kitandani kajirekod matako yake na ile video ili sindikizwa na caption , hivi mwanamke kama mimi suala la kutakwa ni la ajabu???

Nikamuuliza kwann umefuta na sijaplay bado akajibu we yann, nikamuomba atume akagoma, nikampa okay nikakaushaa , akaanza mi nalala , usiku mwema sijui kesho nikajibu okay.

Nika delete convo sijamcheki tena na sina time nae akafie mbelee , lengo alake nioneshe kuwa nauhitaj sana na ile kideo then aniwekee masharti maana kwa picha aliyotuma ya utambulisho kwenye kundi kama umesoma cuba unajuaa huyu anauza nyapu tu.

Try not to be manipulated japo sometimes ni ngumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…