ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Lakini hainipi mkate wa siku mkuu🤣🤣Kama unatumia chrome we nenda translate
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini hainipi mkate wa siku mkuu🤣🤣Kama unatumia chrome we nenda translate
Yaa ila kuna muda inaliwaza akili baada ya kutafuta mkate pia kujifunzaLakini hainipi mkate wa siku mkuu🤣🤣
Ila wadau hawajui tofauti kati ya kupotezea, kupuuzia na kususa.Mwanangu nyie mnavipaji mm binafsi siwezi demu mm akionyesha Hana Interest na mm sasa na mm nadisappear
Well, I met this perfidious malcontent in early last yearView attachment 2480809
Mbususu umesuswa au Mimi ndo sijaelewa?
Sisi wengine tulikimbia umande[emoji12]Jama jama jf sio ya maprofesa wa lugha tu...
Tupo akina nani mtaa wa bee pia
Kuna mambo 4 Kama mwanaume unapaswa kuyajua
1.Wanaume tunatamani Kwanza
2. Wanawake wanapenda baadae
3. Ukizidisha attention,unazd kumkosa,
4. Akishakupenda, usipompa attention anachanganyikiwa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mwenyezi Mungu akujalie partner sahihi utakapoamua kutulia
Maana watu Kama wewe hamchelewagi kufanya maamuzi machungu kwa wengine
😂😂😂Ila kweli,anakuwa Kama ana stress kaliMwanamke ukijifanya unampenda sn,anakuona kama vile umechanganyikiwa[emoji23]
Utoto unakusumbua ukikua utaacha, hutakiwi kushindana na mwanamke hayo ni mapungufu ya kawaida Sasa kwenye mahusiano au ndoa utaweza kweliFirstly I would to apologise to all men in this platform for going rogue to our Gents rule which is "Never kiss and tell". I think I have to tell this tale to y'all coz you might get something Worth.
Well, I met this perfidious malcontent in early last year, it wasn't a first time to see her... She's my neighbor from 3 blocks away but kutokana na mazingira ya eneo hili unaweza kuishi hata 3yrs majirani msijuane mnapishana tu barabarani. So she was walking that day and i met her.
Akaniuliza kama nilikua nimetoka kufanya mazoezi (Hua wanafanya) mimi nikajibu ndio nimetoka akasema nimpe namba yagu siku nikitaka kwenda nimshitue tue tunaenda nae. Agreed!
Tukawa tunachat chat tu kawaida ili kufahamiana...Kama kawaida law of Magnetism "Unlike pole attract each other" tukawa tunapiga stori za mambo hayo ya jinsia tofauti.
After some days Tukapanga muda na siku ya kuenjoy maisha mwenyewe ananisisitiza kua niwahi. Kutokana na alivyojiweka na umri wake sikudhani kama anaweza kuzingua (She's 4yrs older than me) Cha ajabu muda tuliopanga 18:00Am ukapita bila hata yeye kutoke na simu wala sms hapokei...Nilichukia manusra kupasuka!!😔😩
Katika maisha yangu hakuna kitu sipendi na ukinifanyia kamwe siwezi kukusamehe kama kunidanganya..I don't know but yaani ukinidanganya hata kwa kunitania siwezi kua karibu nawe hata kama upo vipi sitakuheshimu tena.. That's me, I'm so succumbed with truth and I can't hep about it.
So huyu dada alivyoniongopea siku hiyo sikutaka mabishano nilifuta namba yake na kila kitu about her! Nikafanya kama sijawah kufahamiana nae...Siku moja nakutana nae barabarani natembea akafanya kama anataka kunigonga halafu akachekaa...ndio nikazidi kumchukia.
Siku ya siku nikaona sms ananisalimu, nikachat nae kawaida kama hakuna kilichotokea Mwenyewe akawa anauhitaji...akaniambia nijiandae saa 18:00 twende somewhere akanirefund for my trouble of that day. Tukakubaliana location Levolosi tukawa tunasubiri mida tu huku tunachats 🙊🙈
Muda ukawaidia sasa kama kawaida ukinidanganya sikusamehi kamwe nikapanga nimpige tukio gani akome uswahili...nikaona nimlipizie alichofanya. Kajiandaa kamaliza akatoka nje ananisubiria mimi sikutoka ndani! Nikawa namchungulia kwenye geti namuona ananiangaza mimi nikarudi zangu ndani akabaki na hamu zake.. nilifurahi sana kumkoamoa.. nikitaka aone kile alichotaka kunipatia it's not a big deal to me! Naweza kuipata kwa mwanamke yoyote nitakayemuelewa Na siendeshwi kwa hisia I only se*+ when I want.
View attachment 2480787
[Sms zake hizo siku hiyo]
After two days nikashuka zangu dar nikafuta no yake!
This week nimerudi mtaani nikakutana nae tena akanilaumu kuhusu nilichomfanyia last year.... Nikameambia nitakuchek mida. Nikatafuta no yake kwenyw contact backups nikaipata nikamcheki. Tukachat tukapangana irudiwe...This time akasema niende anapokaa. Kwakua sio uswahilini nikaenda...Nikawawakilisha 🙈🙈View attachment 2480791
[Juzi deal done]
Baada ya hapo naona hakauki kunitext namm hata sina shida nae maana alinidanganya and that I can't forgive!
View attachment 2480801
Mwenyewe Naona kanogewa ila mimi hapana Liars and lies will be my last thing to deal with..
For mens...hawa wenzetu wanapenda watu wenye maamuzi ya kikatili ukimbembeleza anakuona mjinga na utakoma kwanini umemuachia nafasi ajue unamuelewa zaidi. Usimuonee huruma mwanamke kwenye maamuzi wanapenda masculinity. Ukimbembeleza anaona wewe shost yake.
So I take this as absolutely Win
View attachment 2480804
-Criston Cole
Ukijifanya mkamilifu mapenzi au mahusiano lazima yakushinde, unaingia kwenye mahusiano unatathmini mapungufu ya mwenzako je unayaweza lakin ukisema utafute mkamilifu kwanza hayupo kwa hiyo utajikuta unaishi maisha ya stressMapenzi Ni Sanaa....na muhesabu Visa haliwezi penzi
Aaah mkuu... kwani mtoa mada kasema ame underestimate power of woman? Huyo demu kakutana na mjanja zaidi yake. Halafu mbona trick za huyo demu ni za kitoto mno? Kipi kimekubabaisha hapo mkuu?MTOA MADA KUNA KITU HUJAKIJUA KHS WANAWAKE
a) Wanawake ni naturally born masters of manipulation,
b) Wanawake Ni naturally born emotional intelligence officers.
c) wanawake Ni naturally born masters of playing mind games
Namaanisha nn,
Wanawake Wanajua vizur jins ya kuchekecha akili zetu ili tuingie kwny mfumo wao wanaotaka, watucontroll na kutimiza malengo yao either ya kiuchumi,kimapenz n.k
Huyo mwanamke wako Ni manipulative in nature, anapenda sana michezo ya kucheza akili na attention ya mwanaume.
Kiuhalisia,
Ukiingia kwny mfumo wake Kama una roho nyepesi hutoboi nakuapia, atakutesa Sana kihisia maana anaenjoy kuona unataabika kwa ajili yake.
Ntalifafanua hili kutokana na mazingira ya Uzi wako ulivotiririka,
1. Binti keshafanya intelligence ya kutosha na kajua unapenda mazoezi, ka-time Muda muafaka mzur mtakaokutana na kweli mmekutana kwny viunga ulivyoelezea.
2. Akavaa kimazoezi kukutamanisha akijua kabisa wanaume ni dhaifu kwa mavazi yale, Tunatamani kwanza,mapenz huja baadae.
3. Cha haraka haraka akakuletea havar za mbususu kijanja akijua kabisa wanaume tuna udhaifu wa mbususu za burebure, akakutamanisha ili uingie kwny mfumo.
4. Ulipoingia kwny mfumo,
akafanya kusudi kukuzingua uku mkiendelea na mawasiliano ili uumie na kila saa umuwazie yeye, ukiwa na matumain ya kupewa siku nyngn
5. Siku nyngn tena akakunyima kusudi ili uzidi kukaa ukimuwazia yet Ili mapenz yako kwake yazidi kukolea
6. Alipoona umemblock, akajua ile mbinu yake haijatick, anapaswa kurudi square one. Apo ndipo alipokuja kwako ili mwende ukamchakate.
7. Umemzingua ukamfungia vioo,
Amejua kabisa umekasirika na ulipania sana, hajaacha kukutafuta Wala hatokoma kukutafuta nakwambia mkuu.
Caution:
[emoji117]Huyu Binti Yuko ktk misheni maalum,
[emoji117]Kama sio mapenz kakupenda anatafuta gia muanzishe mahusiano
[emoji117]Basi Atakua katumwa(Honeypot trap)
HUYU BINTI HATA UKIINGIA NAE KWNY MAHUSIANO, USISEME ULIMTONGOZA.
yeye ndo kakutongoza Wewe, maana anajua vzr kucheza na akili yako back&forth.
My take:
Never under estimate power of woman in mission, mwanamke akiamua Jambo lake huchomoki, otherwise uwe jasusi Kama yy au zaidi yake [emoji1431]
Mtoa mada ni jeuri wa majeuriKuna wanawake wana dharau, halafu kwenye circle yake kuna wanaume wenye sifa kama zako 20 wanamfukuzia, siwashauri vijana kuwa jeuri ku win mwanamke.. nashauri watafute pesa..
Siyo lofa lofa huyu jamaa. Good kwakeJamaa anaringa[emoji23]
Makasiriko ya nini sasWewe ni mpumbavu, this is Africa dude. Drama zako peleka ulaya.
Wewe ndo unaleta tabia za kike. Ishi maisha yako na principles zako. Kila mwanaume ana principles zake na mipaka yake ambayo hayupo tayari kuona mtu aivuke.Tabia za kususa ni za kike mkuu, huyu jamaa sijui vipi asee
Kuoa anaoa tu wanawake wapo wengi na wapo tofautiUkiwa hivyo usioe kabisa
“Never under estimate power of woman in mission, mwanamke akiamua Jambo lake huchomoki, otherwise uwe jasusi Kama yy au zaidi yakeMTOA MADA KUNA KITU HUJAKIJUA KHS WANAWAKE