Alinifanyia kiburi nikamuonyesha ujeuri. The rest is history

Alinifanyia kiburi nikamuonyesha ujeuri. The rest is history

Ehee mi sipendi wanaume walio complicated kitu kidogo tu wamesusa napenda mwanaume easy going
Dejan mimi ni mtu poa sana...kwanza all the time I have smile on my face. Yaani sichukizwi na vitu vidogo na hata ukinichukiza just say sorry kila kitu nitafuta.ila kunidanganya daah hua sisahau hichi kitu nahisi ishakua psychological problem. I'm so succumbed with truth
 
Nilidhani Mimi tu ndio nimeiona hii. 😂😂😂 Maana ukisona story yenyewe unashindwa kuelews hiyo malcontent imekuja je hapo.

Au mi ndio sielewi?
Tatizo mshazoea kutumia Basic english...The,this,that.. update yourself
 
Utakuja kupigwa mbupu kwa tabia zako za kike kike hizi. Unasusa susa kibinti binti. Bwege mtozeni wewe
Kususa nisuse mimi kuumia uuumie wewe😅
Maajabu haya. Au ninwewe huyo mwanamke nini??
 
Dejan mimi ni mtu poa sana...kwanza all the time I have smile on my face. Yaani sichukizwi na vitu vidogo na hata ukinichukiza just say sorry kila kitu nitafuta.ila kunidanganya daah hua sisahau hichi kitu nahisi ishakua psychological problem. I'm so succumbed with truth
Uongo mbaya sana
 
Kuna mambo 4 Kama mwanaume unapaswa kuyajua
1.Wanaume tunatamani Kwanza
2. Wanawake wanapenda baadae
3. Ukizidisha attention,unazd kumkosa,
4. Akishakupenda, usipompa attention anachanganyikiwa
Akifika hiyo namba 4 ndo wakati wa kula mbususu yake kweli kweli hautajuta
 
Nilidhani Mimi tu ndio nimeiona hii. [emoji23][emoji23][emoji23] Maana ukisona story yenyewe unashindwa kuelews hiyo malcontent imekuja je hapo.

Au mi ndio sielewi?
Tuliokimbia umande karibu tujing'ate ulimi[emoji38]
 
Hapana Ila kuwa na mim kuna muda ni msumbufu mno ila mi situkani nilijaribu tu kukaripia siku moja kilichonikuta weee sijawah rudia mwanaume wangu hapendi kelele kabsa
Wanaume tunapenda wanawake submissive,wasio na makelele wala mashindano.

Ukiona mwanamke anaanza mind game,
Wanaume tunaanza kuplay defensive ndo Kama vibao tunaweza kukunasa[emoji4]
 
Back
Top Bottom