Alinifanyia kiburi nikamuonyesha ujeuri. The rest is history

At the end of the day what was your intention kuanzisha hayo mapenzi ya kidosi? Man up.
 
Safi Sana mkuu ,mshauri wetu mwandamizi wa hapa jamii forum

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
utoto raha sana
Eti jamaa anazila kwenda kula mbususu!
hajui kwamba sisi wanaume ni hunters by nature. Tunawinda mpaka tupate. Jamaa analeta uzungu. Kitu ambacho alitakiwa kufanya ni kumtmb.a vizuri....baas. Mwanamke ukimtia vema anageuka kuwa mtumwa wako
 
Eti jamaa limeitwa njoo linaishia kuchungulia dirishani!
 
Hila wakuu kumbembeleza kipaji au kumfuatilia demu Miaka Mimi siwezi Mimi nakufuatilia week ukizngua nakupotezea
Ww utaishia kula malaya tu labda ubake kwa sisi wakongwe tunakwambia kuna baadhi ya wanawake kuwala it takes time.especilly kwa wale wanawake wenye nyodo ambao kimsingi wapo class za juu kukuzidi.
Ila ukitongoza wanawake wa Mwananyamala Manjunju au Tegeta kwa Ndevu jioni tu unawalala
 
Felicidades amigo ganaste.
 

Dogo,

Mwanamke ndo anatongozwa, sio mwanaume. Kwa hiyo hapo alipokuingia na kukuomba simu ndo hapohapo ilipotakiwa ushtuke.

Mwanamke yeyote anayemuanza mwanaume ujue ana lake jambo, na hilo jambo ni kwa faida yake yeye. Sio kwa faida yako wewe. Na mara nyingi litakuwa ni jambo la hasara na maumivu kwako.

Kwa hiyo siku nyingine acha kupenda kitonga. Wewe ndo ukamuanze mwanamke. Kama staili yako ni ya kuomba namba ya simu, basi wewe ndo ukamuombe mwanamke namba ya simu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ