Alinikataa kaja kunikubali baada ya kupata mtoto

Huyu jamaa ananikumbusha dem nltongoza mwaka 2018...nltongoza dem amenizid umri..kipindi hiko ana miaka 29...!!akanikatalia....!!nikapotezea...!!mwaka huu nkasema nitest naona kila nisemacho ni Ndiioo...ndiiooo...!!hapo ujue ana miaka kama 34...!!
Hahahahaha... Inafurahisha sanaaa[emoji16]
 
Soko lake limeshuka lako limepanda then unataka kujipoteza hahahaa acha ujinga wewe
Hivi unajua kwamba kuna soko la mahusiano kwa wote Mwanamke na mwanamme...

Acha ujinga wewe dogoo..
Hebu jenga maisha yakoo
Halafu kuna watu wana mambo ya kipuuzi kweli... unaoaje mtu aliekukataa at first... wewe lofaa na second choice also known as Option...
If no love and attraction at first sight usinambie unanipenda baadae pumbavu
 
ahahaha... mkuu nakubaliana na wewe, ila co kwamba soko lake limeshuka.. yaani ni hivi.. huyu binti ni mkenya.. kijijini kabisaa.. then amekuja DAR.. anafundisha private school..BASI ZA NJANO.. ko hapa dar hana mwenyeji yeyote yule.. naye alivosikia et nipo dar ndo akaanza ivoo...
basi yaani huyu mdada ameiva kweli.. na ameshajijengea akilini mwake et nitamuoa..
.. kila siku anataka aje huku ninakokaa tuonane.. yaan kila weekend ikifika.. ijumaa jioni lazima aniulize kuhusu swala hili la kuonana sema mimi ndo nampiga chenga.
AMEIVA KWELI
 

Kumbuka mwanamke hapotezi maslahi yake.
Ukishangaa utajiingiza kwenye majukumu yasiyo ya lazima ambayo baadae utayajutia... usimuoe or else unajitafutia matatizo
Halafu kazi yake hela zake ni zake dogo
Hakuna shared ownership ujue..
Usije kula pesa ya mwanamke kama wewe mwanamme na usimfuate mwanamke kwa hali yake ya kiuchumi...

Jenga maisha yako hata kwa kuchelewa, tafuta hela zako then atakuja atakaekupa unachotaka...
Huyo anapambana na ukuta, hana soko, washkaji anaopata ni wapitaji tuu ameamua kurudi kwako...

Avoid her or Hit and run kama washikaji waliomzalisha..

Unaanzaje kufikiria kuoa single mom... baharia aliye pita hapo ataendelea kula uhakika..
Kazi kwako but don’t commit to her...
Anacheza game ndogo usipoijua unaingia kingi
 
kaka unachaosema kina mantiki sana.. nimeipenda na ikiwezekana nitaitumia ..
mimi hapa ndo kwanza naingia chuoni mwezi wa tisa.. jana usiku akaniuliza.. vip utapanga au utakaa hosteli?? nikamwambia mimi sina ela ya kupanga nje, nitakaa hostell. nikamuuliza mbona umeniuliza kuhusu hilo? akasema nimekuuliza tu.
ila mkuu KWA KWELI SINA MPANGO WA KUMUOA .. nilikuja humu jf kupata ushauri na tayari nimepata.. maana hakuna anayenisapoti kumuoa. BUT NITAENDA UGENINI KUCHEZA MECHI YA KIRAFIKIIIII HALAFU NARUDI..
japo yeye anajivunia san akijua nitamuoa..
nitaendelea kumdanganya kwa kipindi hich .. nakula tundaaaaaa... ikifika muda wa kuingia chuoni. nakatisha mawasiliano mkuu..
 
Asante bosi.. ila nilipomuuliza kuhusu baba wa mtoto.. aliniambia et ameshaoa na mpaka sasa ana familia..
Wewe ni Mwanaume suruali,nyie ndio mnachafua brand hii adhimu ya Mwanaume shubamiti zako. Eti "nikubali mtoto ni wangu" nenda chuo kasome labda utakuwa na akili za kiuanaume.
 
Wewe ni Mwanaume suruali,nyie ndio mnachafua brand hii adhimu ya Mwanaume shubamiti zako. Eti "nikubali mtoto ni wangu" nenda chuo kasome labda utakuwa na akili za kiuanaume.
sas we hapo nachafuaje brand adhimu ya mwanaume wakati mimi nimequote kilichosemwa na huy mdada???
niende shule nikasome nipate akili za kiuanaume kana kwamba akili yangu niliyonayo ni ya dadaako??
naomba tuheshimiane pliz.. kama unatoa ushauri toa kwa njia inayoeleweka na siyo kuchafua siku za watu sawa?..
matusi hayo yametoka wapi sasa..
kwani ulisikia nimeshakubali kumuoa huyo msichana?????..
naomba ulinde heshima zako ili nikuheshimu.
mimi ni mwanaume suruali???????..
DAAH!!
maisha yangu unaniendeshea wewe?? kama mimi ni mwanaume suruali basi nipe shangazi yako nikae naye uone kama ataniendeasha unavofikilia na haya mawazo yako finyu..
JIHESHIMUUU .
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] povu zitoooo
 
Najisikia fahari sana nisipoheshimiwa na Mwanaume suruali kama wewe,demu kakuzidi kila kitu akili,maarifa na ujanja. Nyie ndio wale Wanaume mnaopigaga magoti wakati wa kumvisha Mwanamke Pete.
 
we ni pimbii wanaokaa kwenye mawe hizi ndo akili za mwanachuo mkubalie
 
Una umri gani mkuu!

Najisikia fahari sana nisipoheshimiwa na Mwanaume suruali kama wewe,demu kakuzidi kila kitu akili,maarifa na ujanja. Nyie ndio wale Wanaume mnaopigaga magoti wakati wa kumvisha Mwanamke Pete.
daah.. hapa ndo nimekubali kwamba sio kila anayevaa nguo nyeupe ni daktari.. wengine ni wauza nyama tuu..
dah.. nimeamini kwamba.. siyo kila mzee ana busara. kumbe kuna wajinga pia wanazeeka.
 
Komaa na chuo na masomo, fikiria namna ganj utajiandaa na future yako siku za usoni.. iwe kujiajiri au kuajiriwa..

Akili yako bado haijakomaa kujingiza kwenye mahusaino na mwanamke mama mwenye mtoto anayekushawishi umdanganye mama yako kuwa mtoto ni wa kwako.

Amekushawishi hivyo kwasababu anaijuwa akili yako bado ya kitoto huna upeo wakufikiri mambo!

Pia anaku manipulate sana... anakuongopea anakupenda kitu ambacho sio kweli... ni kwasababu tu yupo desperately na wewe ni kama second option kwake- ana stress za nani atalea naye mtoto ,ndio maana kakuuliza utapanga au hostel??

Huyo mwanamke kakuzidi umri ,uwezo wa kufikiri na experience ya mahusiano... anauwezo wa kukucontrol atakayo.. ila wewe naona utaka uvuke stage ya boyfriend na girlfriend uingie kwenye majukumu ya kuwa baba wakati hata pesa ya kuonana nae weekend ulikosa...

Jiondoshe kwenye hiyo mikosi acha mahusiano naye fasta .. nenda chuo focus on your goals and dreams .... kama kuhangaika hangaika na visichana vya chuo huko huko utapata experience how relationship works
 
Single maza hawaolewagi.
Piga sepaaaa.

#YNWA
 
Huna akili.
 
Acha kumpotezea muda zaidi muambie tu ukweli kuwa huna mpango wala plan za kuowa single mother

nilikuwa na mdogo wangu muajiriwa wa TPA kigoma alidate na single mother end of the day akagoma kumuowa .....now my young bro yupo anahangaika na kesi ya uhujumu uchumi maakamani baada ya yule single mother (kipenyo muandamizi) kumbambikia kesi ya rushwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…