Alinipigia simu nisikilize maneno ya mwisho ya Mwanangu anavyofariki

Mawele

Platinum Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
1,161
Reaction score
4,251

Mama wa mtoto aliyeuawa, koani Pwani Chanja Chachuma, amesema alipigiwa simu na mwanaume anayedaiwa kuhusika na mauaji hayo, aliyemweleza kuwa alikuwa akimuua mtoto huyo kwa lengo la kuhakikisha wote wanakosa.

Amesema alijitahidi kumsihi mwanaume huyo asimuue mtoto na kumwahidi kuwa angefika alikokuwa muda mfupi baadaye, lakini aliendelea kusisitiza kuwa alikuwa amedhamiria kumuua mtoto huyo licha ya maombi yake
 
View attachment 3689835

Baba wa kambo au Mzazi mwenza? Wakose wote nini sasa?
Watu wa Pwani na ngono ni hatari
 
View attachment 3689835

Mama wa mtoto aliyeuawa, koani Pwani Chanja Chachuma, amesema alipigiwa simu na mwanaume anayedaiwa kuhusika na mauaji hayo, aliyemweleza kuwa alikuwa akimuua mtoto huyo kwa lengo la kuhakikisha wote wanakosa.

Amesema alijitahidi kumsihi mwanaume huyo asimuue mtoto na kumwahidi kuwa angefika alikokuwa muda mfupi baadaye, lakini aliendelea kusisitiza kuwa alikuwa amedhamiria kumuua mtoto huyo licha ya maombi yake
Mhalifu anatoka chalinze hadi Kinondoni huku anatamba kwa simu na hajakamatwa?
 
Back
Top Bottom