Nipo Pale Nakunywa
Member
- Jan 5, 2025
- 14
- 24
Ukatili huu sio wa kupuuzwa kabisa, huyo mtu natumaini leo hii atakuwa chini ya mamlaka ya jeshi la polisi, Huyo mama mtoto nadhani ana matatizo ya akili.
Hakika mkuu just imagine jinsi watu walivyokuwa wakatili kiasi hiki, hawana hofu Wala hurumaInahuzunisha sana 😭
Inaumiza sana 😭....