BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 9,528
- 24,071
Nimebaki mdomo wazi 

Hawakuona umuhmu wa kuwashirikisha police kuanzia mwanzo?? Naona kama kulikua na muda,wa kutosha,wa kuweza zuia madhira yasitokeeView attachment 3689835
Mama wa mtoto aliyeuawa, koani Pwani Chanja Chachuma, amesema alipigiwa simu na mwanaume anayedaiwa kuhusika na mauaji hayo, aliyemweleza kuwa alikuwa akimuua mtoto huyo kwa lengo la kuhakikisha wote wanakosa.
Amesema alijitahidi kumsihi mwanaume huyo asimuue mtoto na kumwahidi kuwa angefika alikokuwa muda mfupi baadaye, lakini aliendelea kusisitiza kuwa alikuwa amedhamiria kumuua mtoto huyo licha ya maombi yake
Kuna muda nimevaa viatu vyake nikawa kimoyo moyo nampa sifa kwa kujua kujikaza.Mkuu unamjua Mwanamke aliypoteza mtoto hawezi ongea hawa kuna jinsi wanaongea kirahisi tuu
Mdogo wangu naona unataka dada yako nicheke Msibani. 😃Nimebaki mdomo wazi![]()
100% waje kumtetea na huyu maana wanapenda kutetea ukatili na mauaji.Mwendawazimu mwingine kafanya ukatili
Kuna haja ya kufanyika kipimo cha afya ya akili hasa kwa wanaume
Jitu la hivi adhabu yake ni kukata kiungo kimoja kimoja bila ganzi.View attachment 3689835
Mama wa mtoto aliyeuawa, koani Pwani Chanja Chachuma, amesema alipigiwa simu na mwanaume anayedaiwa kuhusika na mauaji hayo, aliyemweleza kuwa alikuwa akimuua mtoto huyo kwa lengo la kuhakikisha wote wanakosa.
Amesema alijitahidi kumsihi mwanaume huyo asimuue mtoto na kumwahidi kuwa angefika alikokuwa muda mfupi baadaye, lakini aliendelea kusisitiza kuwa alikuwa amedhamiria kumuua mtoto huyo licha ya maombi yake
Huu uzi wanapita kama wanaaga maiti100% waje kumtetea na huyu maana wanapenda kutetea ukatili na mauaji.
mfiwa mkavu kama boga bichiMdogo wangu naona unataka dada yako nicheke Msibani. 😃
Enhee imekuwaje hadi mdomo ukabakia wazi?

Mimi hizi habari zinanipa msongo sio siri lakini sasa kwanini zificwe ?Habari za hivi msiwe mnapost Kwa afya ya akili.
Wewe ni mwanaume ningependa kuona kama kweli mnachukizwa walau muanzishe hata midahalo humu ya kuelemishana sisi tukifungua nyuzi kukemea tunaambiwa ni FeministMtu unakosa Amani kabisa,binafsi huwa napita iwe shuleni au mtaani,nikikutana na mtoto yeyote huwa namfananisha na wanangu,ingawa wanangu ni wakubwa kwasasa,niliwahi kununua nguo kwenye sikukuu ya Christmas nikawapa watoto ambao hata siwajui,
Furaha yangu huwa nikuona tu mtoto akifurahi.
Enyi wanawake muwe mnaangalia watu wa kuwabebea ujauzito
Mtoto tena kwa wamama hapana..Bi mkubwa alipewa habari ya ajari siku 3 nilisikia amegoma kula...namwangalia tu Mama mjengo watoto wakianguka anavyo respond hivi asikie mwanae kachnjwa..kuna kitu Mungu aliweka kwa wamama na watoto si rahisi kuongeaKuna muda nimevaa viatu vyake nikawa kimoyo moyo nampa sifa kwa kujua kujikaza.
Hadi nikawa najisemea hivi ingekuwa kwangu na uchungu wa kufiwa na mtoto hao watu wa media hivi hata ningewaelewa kweli.
Huyu mwanamke anamapungufu vile vile.View attachment 3689835