Inahuzunisha sana 😭😭😭😭😭😭inahuzunisha kwa kweli..
Binadamu tumekuwa wanyama na tuliokosa utu
Inaumiza sana
Baba wa kambo au Mzazi mwenza? Wakose wote nini sasa?View attachment 3689835
Mama wa mtoto aliyeuawa, koani Pwani Chanja Chachuma, amesema alipigiwa simu na mwanaume anayedaiwa kuhusika na mauaji hayo, aliyemweleza kuwa alikuwa akimuua mtoto huyo kwa lengo la kuhakikisha wote wanakosa.
Amesema alijitahidi kumsihi mwanaume huyo asimuue mtoto na kumwahidi kuwa angefika alikokuwa muda mfupi baadaye, lakini aliendelea kusisitiza kuwa alikuwa amedhamiria kumuua mtoto huyo licha ya maombi yake
Mhalifu anatoka chalinze hadi Kinondoni huku anatamba kwa simu na hajakamatwa?View attachment 3689835
Mama wa mtoto aliyeuawa, koani Pwani Chanja Chachuma, amesema alipigiwa simu na mwanaume anayedaiwa kuhusika na mauaji hayo, aliyemweleza kuwa alikuwa akimuua mtoto huyo kwa lengo la kuhakikisha wote wanakosa.
Amesema alijitahidi kumsihi mwanaume huyo asimuue mtoto na kumwahidi kuwa angefika alikokuwa muda mfupi baadaye, lakini aliendelea kusisitiza kuwa alikuwa amedhamiria kumuua mtoto huyo licha ya maombi yake
Oyalengo la kuhakikisha wote wanakosa.
Kwa hio wote wamekosa au bado?Watu wengi wana changamoto ya afya ya akili
Mkuu unamjua Mwanamke aliypoteza mtoto hawezi ongea hawa kuna jinsi wanaongea kirahisi tuuKuna kitu na hawataki kukisema.....
R.I.P Chalii😢
Lakini pia huyu mama kuna namna alitakiwa kuifanya toka mwanzo anapata simu za vitisho... Ngoja tuusubiri ukweliMkuu unamjua Mwanamke aliypoteza mtoto hawezi ongea hawa kuna jinsi wanaongea kirahisi tuu
Kuna kalea mtoto hapo...zikaanza hadithi za pwagu na pwaguzi...Lakini pia huyu mama kuna namna alitakiwa kuifanya toka mwanzo anapata simu za vitisho... Ngoja tuusubiri ukweli
Nashangaa mama mtu anasimulia mkavu kabisa hata chozi la kufosi hakuna.Mkuu unamjua Mwanamke aliypoteza mtoto hawezi ongea hawa kuna jinsi wanaongea kirahisi tuu
Mkuu hapo nami nimeshindwa kuelewa...ni hatari..dada hata kama hana uchungu si kwa uongeaji huoNashangaa mama mtu anasimulia mkavu kabisa hata chozi la kufosi hakuna.