Nipo Pale Nakunywa Member Joined Jan 5, 2025 Posts 14 Reaction score 24 Oct 14, 2026 #41 Ukatili huu sio wa kupuuzwa kabisa, huyo mtu natumaini leo hii atakuwa chini ya mamlaka ya jeshi la polisi, Huyo mama mtoto nadhani ana matatizo ya akili.
Ukatili huu sio wa kupuuzwa kabisa, huyo mtu natumaini leo hii atakuwa chini ya mamlaka ya jeshi la polisi, Huyo mama mtoto nadhani ana matatizo ya akili.
Andromeda Galaxy JF-Expert Member Joined Feb 7, 2025 Posts 9,846 Reaction score 16,713 Oct 14, 2026 #42 1995_No_Ku_Fake said: Inahuzunisha sana 😭 Inaumiza sana 😭.... Click to expand... Hakika mkuu just imagine jinsi watu walivyokuwa wakatili kiasi hiki, hawana hofu Wala huruma
1995_No_Ku_Fake said: Inahuzunisha sana 😭 Inaumiza sana 😭.... Click to expand... Hakika mkuu just imagine jinsi watu walivyokuwa wakatili kiasi hiki, hawana hofu Wala huruma