Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Yes, utaona demu atapoozaMwambie avujishe tu huna mpango wa kumpa hiyo milionii, Kama mbwai na iwe mbwai.
Au kama mapigo mazuri mwambie muipeleke brazzers kabisa huenda akapata nafasi ya kuigizia huko atapewa zaidi ya milioni
Wanaume tutafute Hela tuwape Hawa wanawake.Wakuu hii issue ni ngumu kidogo naomba tuwe serious kutoa ushauri badala ya kulaumu, shit happens sometimes!
Deadline ni Jumatano.
Nawasilisha.
Na wewe umo? Sikujua!!!!Sasa tutawatomber hawa wanawake vichakani kwa hali hii
Nipo kwenye nini tena?Na wewe umo? Sikujua!!!!
Wakuu hii issue ni ngumu kidogo naomba tuwe serious kutoa ushauri badala ya kulaumu, shit happens sometimes!
Hebu vaa hivi viatu kisha toa ushauri.
Una familia yako mke na watoto na una mchepuko wako, ghafla mchepuko ambao mnakwenda nao sawa muda wote unatega kamera na kuchukua tukio wakati mna vunja amri ya 6 kwenye chumba chake ulicho msaidia kulipa kodi
Baada ya hapo anakutumia clip kisha ana demand 1M la sivyo anaiuza kwa dada Mange au anaivujisha tu.
Mchepuko umekwanda mbali na kudai kama mbwai mbwai, ukimpeleka tu polisi anaiachia mitandao kwa Da Mange, yupo tayari kurisk lolote ili mradi aipate 1M.
Tafadhali mahubiri na wale wa kwanini uchepuke kaeni pembeni kwanza, majemedari wapangue hii kesi kisha mtafuata baadae.
Usiniulize kama ni mimi au la, toa ushauri tafadhali.
Deadline ni Jumatano.
Nawasilisha.
[emoji3][emoji3][emoji3]
Elimination method.
[emoji23]Sasa tutawatomber hawa wanawake vichakani kwa hali hii
[emoji23][emoji23][emoji23]mtumbwi wa VibeengoBro vaa bomu onyesha ujasiri mwambie vujisha hizo clip sihofii chochote yaani kaza kama vile umepanda mtumbwi wa vibwengo.
Soma comment yako kwenye hii mada.Nipo kwenye nini tena?
Ongea na police wa Cyber, wape ya brash mia. Wam-shake, aelewe anaweza kwenda jela na kulipa fine ya mamilioni. Huyo mchepuko atafuta mpaka alizosave kwenye cloud. Usiogope kuhusu wife, kama anakujua vzr anajua unachepuka huenda nayeye pia anachepuka.
cc Mayu fanyia kazi huu ushauri, toka kwa vvm na Kunguru wa ManzeseUsitume pesa
Usitume pesa
Usitume pesa
Nimeandika mara tatu kwa msisitizo ..
Cha kufanya record message zake za vitisho na mpigie kumbembeleza ili upate audio records kusanya ushahidi vya kutosha
Nenda polisi wape hata kilo wam shake kidogo kwa kesi ya blackmail mbona atazifuta