Wakuu hii issue ni ngumu kidogo naomba tuwe serious kutoa ushauri badala ya kulaumu, shit happens sometimes!
Hebu vaa hivi viatu kisha toa ushauri.
Una familia yako mke na watoto na una mchepuko wako, ghafla mchepuko ambao mnakwenda nao sawa muda wote unatega kamera na kuchukua tukio wakati mna vunja amri ya 6 kwenye chumba chake ulicho msaidia kulipa kodi
Baada ya hapo anakutumia clip kisha ana demand 1M la sivyo anaiuza kwa dada Mange au anaivujisha tu.
Mchepuko umekwanda mbali na kudai kama mbwai mbwai, ukimpeleka tu polisi anaiachia mitandao kwa Da Mange, yupo tayari kurisk lolote ili mradi aipate 1M.
Tafadhali mahubiri na wale wa kwanini uchepuke kaeni pembeni kwanza, majemedari wapangue hii kesi kisha mtafuata baadae.
Usiniulize kama ni mimi au la, toa ushauri tafadhali.
Deadline ni Jumatano.
Nawasilisha.