fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 2,977
- 3,798
Hiyo ni kazi ya MolaKwa mara ya kwanza nashuhudia hili tukio kupitia picha hii.
View attachment 3149000
Leo utaondoka kwa ndege ukiwa daraja la kwanza (first class) ila na hatimaye kesho unarudi na ndege hiyo hiyo kama mzigo.
Haya maisha yetu yanafikiliaha sana ndg zangu,tuishi kwa amani na tafakuri sana.