Aliondoka kwa First Class ila Karudi Kama Mzigo Kwenye Ndege

Aliondoka kwa First Class ila Karudi Kama Mzigo Kwenye Ndege

Kwa mara ya kwanza nashuhudia hili tukio kupitia picha hii.

View attachment 3149000

Leo utaondoka kwa ndege ukiwa daraja la kwanza (first class) ila na hatimaye kesho unarudi na ndege hiyo hiyo kama mzigo.

Haya maisha yetu yanafikiliaha sana ndg zangu,tuishi kwa amani na tafakuri sana.
... la Ajabu lipi?
... matajiri wakubwa huishia kumiliki kapande ka ardhi hata kilo ya viazi hakatoi!
KILA NAFSI ITAONJA UMAUTI!
 
Kwa mara ya kwanza nashuhudia hili tukio kupitia picha hii.

View attachment 3149000

Leo utaondoka kwa ndege ukiwa daraja la kwanza (first class) ila na hatimaye kesho unarudi na ndege hiyo hiyo kama mzigo.

Haya maisha yetu yanafikiliaha sana ndg zangu,tuishi kwa amani na tafakuri sana.
Hata ukipanda economy class na ukifa, utarudi kama cargo.
 
NO!.

Hii mada haina uhusiano na yeyote unayemfaham hapo Tanganyika.
Ndiyo umemlenga Mafuru. Why now? Wewe ni takataka. Maiti zinaletwa kila siku na ndege kutoka Ughaibuni. Haijalishi kama ulikuwa Business Class wakati ukiwa hai au ulikuwa Economy Class. Hakuna tafakuri hapo kufanya watu wajisikie vibaya.
 
Watu hawawezi kuacha kununua tiketi za Business Class kulingana na ukwasi wao hata kama wanajua wanaenda kwenye matibabu Ughaibuni na hawana uhakika kama watarudi wakiwa hai. Ulitaka waende kama cargo na warudi kama cargo?
 
= yanafikirisha

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?

Kwanini asizikwe hukohuko alikofia?
Kwanini umzike huko alikofia? Kakuudhi nini hasa?

Alhaj Ali Hassan Mwinyi alifia Dar es Slaam na alazikwa Unguja.

Alhaj Omar Juma Makamu wa Rais enzi za Mkapa alifia Dar akazikwa Pemba

Aboud Jumbe Rais wa pili wa ZNZ alifia Dar es Salaam na akazikwa Unguja.

Wacha unafiki kigagula wewe
 
huo ndio mwisho wa jeuri na kiburi ya binaadamu.
Uwe tajiri, uwe na cheo, masikini, bilionea lakini kifo ndio mwisho wetu.
Jambo la msingi binaadamu tupendane, usimfanyie ubaya binaadamu mwenzio.
 
Back
Top Bottom