Nangu Nyau
JF-Expert Member
- Jul 1, 2022
- 5,015
- 14,139
Ndio maana kila siku nnasemaga msiwapeleke watoto wenu shule za English Mediums kwa sababu mnahangaika kulipa mamilioni ya nini kama mwisho wa mtu ni kufa.
Haya sasa twende kazi, haraka sana kamata watoto wako wanao soma English Mediums wapeleke shule za Kayumba haraka sana. Thank me later 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Ila kama Uzi huu unahusika na kumuombea mtu kifo basi nikwambie mtoa Uzi utaanza kufa wewe.
sasa huko Kayumba unampeleka kufanya nini kama kuna siku atakufa.