Aliondoka kwa First Class ila Karudi Kama Mzigo Kwenye Ndege

Aliondoka kwa First Class ila Karudi Kama Mzigo Kwenye Ndege

mama mchungajiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii nakuja unitoe mapepo ya kuwawazia kifo watu
Hata usijali kijana wangu!kama ni kitu kinakupa furaha kuwawazia watu kifo we fanya tu, kwa maana hata usipowawazia kifo kitawapata,hata ukiwawazia kifo kitawapata....kifo ndio kitu cha pekee binadamu tuna uhakika nacho hundreds 💯 kitatokea, vingine ni probability
 
Ameen Mama mchungaji nimelipokea neno nimebadilika mimi ngoja sasa nikafanye mazoezi ya kuimba TENZI ZA ROHONI MWAMBA WENYE IMARA
 
Inashangaza sana binadamu wanapenda waende mbinguni ila wanaogopa kufa
Kama kifo kingekuwa chapeleka watu Mbinguni hakika viongozi wa dini wangekuwa wa kwanza kufa ili waende.

Angalia hata magaidi wanadanganywa wakifa wanaenda peponi kupewa bikra 72 ila hao wanaowadanganya wao wamebaki wakila tende na shurbati
 
Kwa mara ya kwanza nashuhudia hili tukio kupitia picha hii.

View attachment 3149000

Leo utaondoka kwa ndege ukiwa daraja la kwanza (first class) ila na hatimaye kesho unarudi na ndege hiyo hiyo kama mzigo.

Haya maisha yetu yanafikiliaha sana ndg zangu,tuishi kwa amani na tafakuri sana.
Binadamu anajidai sana akiwa hai tena akipewa dhamana anakuwa ana akili kuliko wote
 
Kwa mara ya kwanza nashuhudia hili tukio kupitia picha hii.

View attachment 3149000

Leo utaondoka kwa ndege ukiwa daraja la kwanza (first class) ila na hatimaye kesho unarudi na ndege hiyo hiyo kama mzigo.

Haya maisha yetu yanafikiliaha sana ndg zangu,tuishi kwa amani na tafakuri sana.
SIONI TATIZO, SEMA NI MAITI YA NANI?
 
Hii nchi watu wataogopa kuingia Giningi, mambo ya kishenzi sana, kwanini hatutakiani mema. Mungu hakuumba watu wakamilifu, kila mtu na kasoro zake ili tutegemeane, huu utamaduni ni wa hovyo
 
Back
Top Bottom