fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 2,977
- 3,798
Hiyo ni kazi ya MolaKwa mara ya kwanza nashuhudia hili tukio kupitia picha hii.
View attachment 3149000
Leo utaondoka kwa ndege ukiwa daraja la kwanza (first class) ila na hatimaye kesho unarudi na ndege hiyo hiyo kama mzigo.
Haya maisha yetu yanafikiliaha sana ndg zangu,tuishi kwa amani na tafakuri sana.
Kwa mara ya kwanza nashuhudia hili tukio kupitia picha hii.
View attachment 3149000
Leo utaondoka kwa ndege ukiwa daraja la kwanza (first class) ila na hatimaye kesho unarudi na ndege hiyo hiyo kama mzigo.
Haya maisha yetu yanafikiliaha sana ndg zangu,tuishi kwa amani na tafakuri sana.
Picha ya lini hii na hapa wapi?
Obvious Prof hawezi safiri economy. Iko wapi faida ya kwenda shule.Kuna Prof wa umeme alikatiwa ticket economy class akasusa safari seat ikaenda tupu akidai hilo daraja siyo hadhi yake
wewe vipi huogopiInashangaza sana binadamu wanapenda waende mbinguni ila wanaogopa kufa
Siku yako ikifika basi imefikaKwa mara ya kwanza nashuhudia hili tukio kupitia picha hii.
View attachment 3149000
Leo utaondoka kwa ndege ukiwa daraja la kwanza (first class) ila na hatimaye kesho unarudi na ndege hiyo hiyo kama mzigo.
Haya maisha yetu yanafikiliaha sana ndg zangu,tuishi kwa amani na tafakuri sana.
Hakuna cha kufikirishq hapa, ni sawa tu na binadamu yeyote akitoka nyumbani kwenye kazini akigongwa na gari! Atapikelewa nyumbani akiwa kama mwili/mzigo!Kwa mara ya kwanza nashuhudia hili tukio kupitia picha hii.
View attachment 3149000
Leo utaondoka kwa ndege ukiwa daraja la kwanza (first class) ila na hatimaye kesho unarudi na ndege hiyo hiyo kama mzigo.
Haya maisha yetu yanafikiliaha sana ndg zangu,tuishi kwa amani na tafakuri sana.
Kuzaliwa ni njia ya kuingia duniani na kufa ni njia ya kutoka duniani.Kwa mara ya kwanza nashuhudia hili tukio kupitia picha hii.
View attachment 3149000
Leo utaondoka kwa ndege ukiwa daraja la kwanza (first class) ila na hatimaye kesho unarudi na ndege hiyo hiyo kama mzigo.
Haya maisha yetu yanafikiliaha sana ndg zangu,tuishi kwa amani na tafakuri sana.
Inashangaza sana binadamu wanapenda waende mbinguni ila wanaogopa kufa
We bwana acha zako,huyo Yesu mwenyewe mtenda mema mashuhuri aliogopa kifo,kumbuka pale Gathemane mpaka alitoka jasho la damu,mpaka aliwaomba wanafunzi wake kesheni muombe pamoja nami, mpaka ali confess "roho i radhi lakini mwili ni dhaifu"hii kauli ilionyesha uoga wa kukikabili kifoKwa suala la kufa; watu wanaogopa kwa sababu wanajua kabisa hawajafanya matendo mema kama yalivyo himizwa na Mungu kupitia mitume wake; sasa watapendaje kukutana naye wakati wanajua ni wakosefu?
mama mchungajiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii nakuja unitoe mapepo ya kuwawazia kifo watuWe kijana wa Swissport badala ya kushughulika na kinachokupa chakula unaanza kupigapiga picha,kwani cha ajabu hapo ni nini,?kwenye kitabu cha muhubiri,mhubiri anasema anavyokufa mwerevu ndivyo anavyokufa mpumbavu, vivyo hivyo anavyokufa mtenda maovu ndivyo anavyokufa mtenda mema...So acha kutafakari jambo ambalo halikwepeki live your life kijana
Yule mufti wetu alifia India mbona hatukumzika India kama dini inavyotaka?= yanafikirisha
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Kwanini asizikwe hukohuko alikofia?
Sio kushangaza tu hiyo seat pia itakuwa ya moto Sana..Itashangaza sana kama ni kweli
Yani unapewa alafu ukikengeuka wanakutangiliza uwahi kufikaSio kushangaza tu hiyo seat pia itakuwa ya moto Sana..
Maana kila atakaekatiwa seat hiyo huenda atakuwa anarudi Kama mzigo..
Sijui seat hiyo itakuwaje kwa kweli..