Aliondoka kwa First Class ila Karudi Kama Mzigo Kwenye Ndege


sasa huko Kayumba unampeleka kufanya nini kama kuna siku atakufa.
 
 
= yanafikirisha

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?

Kwanini asizikwe hukohuko alikofia?
Haya mambo ya kuzikwa huko huko alikofia mnayeweza nyie ndugu zetu Waislamu. Huku kwenye Ukristo ni changamoto. Zinatumika gharama kubwa kuhangaika na mwili wa marehemu pengine hata kuzidi gharama za matibabu, bila sababu za msingi.
 
Kila ukoo na familia wana utaratibu wao. Kuna koo utarudishwa tu labda uzame baharini
Ninekuelewa na nnayafahamu sana hayo, lakini Waislam wengi, maiti zetu huzikwa palepale tuunapofia, sisemi wote, ni wachache sana wasiofata utaratibu huo lakini wapo.

Hata misiba yetu haiwi mirefu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…