Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
Hakuna tija yoyote ile inayopatikana kutokana na suala hili la Kuteua na Kutengua Mara kwa mara zaidi ya kuliangamiza Taifa kwa kufuja fedha za Kodi za Wananchi ili kugharamia teuzi hizi.Palagamagamba Kabudi aliteuliwa [na Rais Samia] kuwa waziri wa sheria na katiba Aprili 2021.
2022 akaondolewa kutoka kwenye hiyo wizara.
Leo/ jana, huyo Palamagamba Kabudi kateuliwa tena kuwa waziri wa katiba na sheria.
Hivi nyie mnamuelewa kweli huyu Rais tuliyenaye?
Kama Kabudi aliondolewa kwenye hiyo wizara hiyo 2022, maana yake ni kwamba hakufaa.
Nini kilichobadilika toka hiyo 2022 mpaka kupelekea yeye kurudishwa tena?
Oh well, labda ni mimi tu na hii elimu yangu ya fom foo ndo sielewi kinachoendelea.
Mnaoelewa, nielewesheni.
Mi wala sidhani kama alikuwa mshauri huko ikulu.Tuliambiwa anapewa kazi maalumu ya ushauri ikulu, yaani alinyang'anywa uwaziri ili kuwa mshauri maana yake hawa mawaziri siyo washauri wa rais.
Hmm….ingekuwa ni suala limetokea moja tu, si ishu.Unaweza kumtoa mtu, pahala ukadhani, yule na yule watu perform better zaidi, lakini ikawa viceversa, basi si dhambi kumrejesha yule ambaye alipamudu na kupatetea kwa vifungu vya sheria kikanuni!
Late jpm, alikuwa na watendaji wazuri kwa kiasi fulani, mf. Kalemani, huyu akirudishwa hakuna ubaya wowote, tena akapewa wizara/shirika pasua kichwa kama TTCL,endapo aliimudu Tanesco mbovu ya wakati ule, kipi kitamshinda?Hmm….ingekuwa ni suala limetokea moja tu, si ishu.
Lakini ni suala linalojirudia rudia….
Kuna tatizo mahali.
So called Sukuma Gang ni toxic.Late jpm, alikuwa na watendaji wazuri kwa kiasi fulani, mf. Kalemani, huyu akirudishwa hakuna ubaya wowote, tena akapewa wizara/shirika pasua kichwa kama TTCL,endapo aliimudu Tanesco mbovu ya wakati ule, kipi kitamshinda?
Heal the nation, Lake zone side!So called Sukuma Gang ni toxic.
Biteko tanesco kaimuduLate jpm, alikuwa na watendaji wazuri kwa kiasi fulani, mf. Kalemani, huyu akirudishwa hakuna ubaya wowote, tena akapewa wizara/shirika pasua kichwa kama TTCL,endapo aliimudu Tanesco mbovu ya wakati ule, kipi kitamshinda?
Sawa. Nae ishirini ishirini na tano tutatengua Urais wake. Baada ya miaka mitano tutafikiria namna ya kumrejesha tena. " muosha huoshwa".Unaweza kumtoa mtu, pahala ukadhani, yule na yule watu perform better zaidi, lakini ikawa viceversa, basi si dhambi kumrejesha yule ambaye alipamudu na kupatetea kwa vifungu vya sheria kikanuni!
Waziri huyo huyo last time alitufanyia vituko, kutuletea vitu vya ajabu. Huu mfumo wa nchi una white wash mawaziri wanao under perform? Jaman mbona kuna pontential people kuliko hao watu ?Palagamagamba Kabudi aliteuliwa [na Rais Samia] kuwa waziri wa sheria na katiba Aprili 2021.
2022 akaondolewa kutoka kwenye hiyo Wizara.
Leo/ jana, huyo Palamagamba Kabudi kateuliwa tena kuwa waziri wa katiba na sheria.
Hivi nyie mnamuelewa kweli huyu Rais tuliyenaye?
Kama Kabudi aliondolewa kwenye hiyo wizara hiyo 2022, maana yake ni kwamba hakufaa.
Nini kilichobadilika toka hiyo 2022 mpaka kupelekea yeye kurudishwa tena?
Oh well, labda ni mimi tu na hii elimu yangu ya fom foo ndo sielewi kinachoendelea.
Mnaoelewa, nielewesheni.
Pia soma:News Alert: - Uteuzi: Lukuvi, Kabudi warejeshwa Baraza la Mawaziri, Ummy aondolewa Wizara ya Afya. TTCL, TAKUKURU zapata Mabosi wapya
Waulize tiss, unamuuliza Rais yeye ndiye anapanga..mbona huwa tunajitoa ufahamu lkn wakati ukweli wote unajulikana..!Palagamagamba Kabudi aliteuliwa [na Rais Samia] kuwa waziri wa sheria na katiba Aprili 2021.
2022 akaondolewa kutoka kwenye hiyo Wizara.
Leo/ jana, huyo Palamagamba Kabudi kateuliwa tena kuwa waziri wa katiba na sheria.
Hivi nyie mnamuelewa kweli huyu Rais tuliyenaye?
Kama Kabudi aliondolewa kwenye hiyo wizara hiyo 2022, maana yake ni kwamba hakufaa.
Nini kilichobadilika toka hiyo 2022 mpaka kupelekea yeye kurudishwa tena?
Oh well, labda ni mimi tu na hii elimu yangu ya fom foo ndo sielewi kinachoendelea.
Mnaoelewa, nielewesheni.
Pia soma:News Alert: - Uteuzi: Lukuvi, Kabudi warejeshwa Baraza la Mawaziri, Ummy aondolewa Wizara ya Afya. TTCL, TAKUKURU zapata Mabosi wapya
Kila kitu siyo TISS.Waulize tiss, unamuuliza Rais yeye ndiye anapanga..mbona huwa tunajitoa ufahamu lkn wakati ukweli wote unajulikana..!
There you r..Tiss ndio tatizo..!Hakuna tija yoyote ile inayopatikana kutokana na suala hili la Kuteua na Kutengua Mara kwa mara zaidi ya kuliangamiza Taifa kwa kufuja fedha za Kodi za Wananchi ili kugharamia teuzi hizi.
Aidha, kitendo cha Rais kufanya Uteuzi na Utenguzi wa Viongozi wa Serikali mara kwa mara kinaonyesha na kuthibitisha kwamba Rais huyo ni Dhaifu kupindukia hususani kwenye suala la kufanya Maamuzi sahihi na kwa wakati sahihi.
Hivi inawezekana vipi uwateue Watu kwenye nafasi sa Uongozi halafu ndani ya kipindi kifupi kabisa Mfano ktk kipindi Cha miezi mitatu tu unatengua teuzi zao zote kabisa na kisha unawateua tena Watu wengine ambao nao pia uteuzi wao ulitengua siku chache zilizopita????? Hii inawezekanaje?????
Ina maana kabla ya kuwateua Watu hao alikuwa hajawachunguza kwa umakini ili kuona Kama wanafaa au la ????? Je, ina maana kwamba Rais amekuwa akifanya uteuzi wa Watu kwa kukurupuka bila ya kuwafanyia kwanza Vetting ya kutosha Watu hao????
Pia inaonyesha kwamba ndani ya Tiss kuna tatizo kubwa sana, hususani kwenye Kitengo Cha Kufanya Vetting za hawa Wateuliwa. Kuwepo kwa Teuzi za hovyo hovyo kama hizi ni reflection ya kuwepo kwa Watu wa hovyo hovyo ndani ya Mamlaka za Uteuzi hususani wale wanaofanya Mchakato wa Vetting za hawa Wateuliwa.
Kumbe, sawa..endelea kupiga ngoma atakusikia.Kila kitu siyo TISS.