Aliondolewa 2022, karudishwa tena 2024! I’m confused

Mfa maji hujishika hata kwenye unyasi
 
Hii inaonesha aliyeteuliwa badala yake ameshindwa hiyo wizara na kuonekana wakati wa Kabudi ndo palikuwa na unafuu mkubwa
 
Sasa wewe huamini mambo ya ndumba sisi tutakueleweshaje.?
 
Tija zipo Kisiasa wewe huwezi elewa
 
Changamoto kubwa ccm hakuna wabunge wenye credibility kwenye masuala ya uongozi unawalaumu watu wa kufanya vetting bure . Chama kina wabunge zaidi ya mia tatu ila ukitaka kuteua waziri unakosa , hii ni aibu kubwa sana
 
Kama Kabudi aliondolewa kwenye hiyo wizara hiyo 2022, maana yake ni kwamba hakufaa.

Nini kilichobadilika toka hiyo 2022 mpaka kupelekea yeye kurudishwa tena?
Sababu aliyoitaja siku Kabudi na Lukuvi wanaondolewa ilikuwa umri mkubwa. Labda kwa mtazamo wa mh rais, umri wao miaka miwili waliyokuwa nje umesonga nyuma badala ya kusonga mbele.
 
Jambo ni lile lile! Kucheza na akili za wadanganyika baada ya tukio la afande Awadh Ili kuwasahaulisha,mbaki kuzungumzia teuzi.
 
Wanasema eti kwa sasa remote control haifanyi kazi tena imeharibika !
 
Ni wazi kwqmba wanaopewa madaraka wana uwezo mdogo wa kada wanazopewa...

Sina uhakika anayewapa madaraka anakuwa na visions gani na namna gani anawasaidia (coaching) aliowapa madaraka kutimiza visions zake...

Kwa kawaida tu, failure ya waziri maana yake ni failure ya kiongozi wake pia...
 
Huyu maza anahangaika sana, hajui alifanyalo
 
Wanakula Kwa zamu.Hata nape na January watateulwa tea kabla ya uchaguzi kuu2025
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…