Aliondolewa 2022, karudishwa tena 2024! I’m confused

Fako2dako hioo
 
Ni chizi pekee pamoja na machawa wa CCM MamaSamia2025 , Lucas Mwashambwa , ChoiceVariable , et al ndio wanaweza tu kuulewa huu uteuzi wa kiquma anaofanya chifu Hangaya kila kukicha. Sijawahi kuona teuzi na tenguzi za kipimbi kama hz tangu dunia ilivyoumbwa!
 
Nimeelewa hivi

Waliomshauri aondoe team mwendazake ndio hao hao wamemsaliti Sasa ameona wale wa zamani wanafaa kuliko wahuni waliojiuzulu!!

anarudisha Imani Kanda pendwa lakini amechelewa coz the damage is done!
 
Kama Kabudi aliondolewa kwenye hiyo wizara hiyo 2022, maana yake ni kwamba hakufaa.
Anafaa Sasa kwa sababu baadhi ya mambo yaliyofanyika wakati hayupo wizarani hasingeyaweza. Kwa sababu tayari yamefanyika Sasa anaweza kurudi. Ni jukumu lako kuyajua yaliyofanyika wakati Mh Waziri Kabudi hayupo wizarani.
 
Mkuu umemaliza kila kitu. Ambaye hatakuelewa tu ni chawa na toilet paper ya CCM na serikali yake.
 
Simply a Failed office. CCM ina wanachana Hai zaidi ya milioni 20 then you Keep recycling kikundi cha Watu 20.
 
Sasa hivi wanarudishwa watu ili kuweka mazingira ya 2025 kwenye mipango ya Chama ndio maana alianza kuwatoa wale wadogo wawili ambao wanaweza kuwa na kundi ndani ya Chama na kuwaleta watu ambao wabadhani hawawezi kuwa na makundi kwa hali ilipofikia hata adui atateuliwa ili mradi tu aweze kupata kiapo cha 2025 na wakishinda kwa kishindo kama Kagame anatemwa tena...
 
Anawaleta karibu sukuma gang ili aweze kuwamonitor kwa karibu. Wale wazee kuwa huru ilikua hatari sana kuelekea 2025.
 
Ulishasema humú kuwa kazi anayoipenda ni kuteua na kutengua! Please allow her to enjoy herself. She is showing how incompetent and confused she is now. She need Loyal people's to her,no more no less
 
Anawaleta karibu sukuma gang ili aweze kuwamonitor kwa karibu. Wale wazee kuwa huru ilikua hatari sana kuelekea 2025.
Sasa hivi hawa aliokua nao nao wanautamani Urais na taarifa nyingi zinapatikana kwa walio nje kwa hiyo wanaletwa ili kuwa wapinzani wa wale wanae aliowaamini hapo mwanzo..
 
Wahuni kina Nape walikuwa wanamdanganya sana chura kiziwi!

Sasa hivi kqtambua ukweli
 
Hana anachoweza kuvuta attention zaidi ya habari za kuonekana ameteua au kutengua tyu. Mimi nimeshaachaga hata kufatilia hizi habari za uteuzi naona michosho tu after 1 month you will hear again the same same pple have been discarded
 
Tumeteuliwa kuja kuichambua katiba tuko ktk awamu ipi na tunaenda ipi ..maana kuna vimaneno maneno
 
Late jpm, alikuwa na watendaji wazuri kwa kiasi fulani, mf. Kalemani, huyu akirudishwa hakuna ubaya wowote, tena akapewa wizara/shirika pasua kichwa kama TTCL,endapo aliimudu Tanesco mbovu ya wakati ule, kipi kitamshinda?
Kalemani alifeli TANESCO. Prof. Muhongo ndiye aliyefanikiwa kupunguza uzembe na madudu ya jabu pale TANESCO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…