Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Upo mchele ambao umeingia katika soko la nchi yetu ni msafi kweli lakini kwa hakika huu sidhani kama ni mchele maana hauna ladha, haukolei mafuta, unaumiza tumbo,mnaopewa tenda za vyakula ndugu zanguni muwe mnaangalia vitu vya kuwaletea Tanzania, sijui wengine mmewahi kudadisi hili? (kuna baadhi ya maeneo wanauita mchele wa Samia) jina ambalo sidhani kama ni sahihi sana,na huwa unauzwa kati ya 2600-2700,madukani.