Orketeemi
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 5,063
- 12,866
Kaka yangu anaishi Dar lakini mchele ananunua mashineni. KalagabahoKwa mfano Dar mashine ya kukoboa mpunga utaiona wapi?
Mchele wenyewe wengine tunanunua nusu na robo😂😂😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaka yangu anaishi Dar lakini mchele ananunua mashineni. KalagabahoKwa mfano Dar mashine ya kukoboa mpunga utaiona wapi?
Mchele wenyewe wengine tunanunua nusu na robo😂😂😂😂
Labda Kama huyo Kaka ako yupo karibu na mashine. Lkn kwa Dar mashine za mpunga Kama zipo basi ni chache sana. Huku sio kyela ndugu. Eti kuwa na mashine kila mtaa.Kaka yangu anaishi Dar lakini mchele ananunua mashineni. Kalagabaho
Hili nimelisema sana ajabu ni kwamba naishia kutukanwa na kutishiwaSerikali ya CCM Hawa jamaa ni majambazi na wazinzi
Wajinga Sana hawawezi kusema robo tatuHahaha, nusu na robo watu wa dar ndo kiswahili Chao.
Nenda manzese Acha ujinga mbona mashine zimejaaLabda Kama huyo Kaka ako yupo karibu na mashine. Lkn kwa Dar mashine za mpunga Kama zipo basi ni chache sana. Huku sio kyela ndugu. Eti kuwa na mashine kila mtaa.
Huku mashine mtaani wanajaa Wanawake kusaga unga wa lishe wa watoto.
Au duka la mtu unayemjua.Mchele nunua mashineni
Na wakiona taarifa imesambaa sana. Watakavhofanya ni kuja kukanusha tuNiko Morogoro Unaitwa Kwa Jina Hilo Ila Walioutumia Wanasema Haufai Kwa Matumizi Na Ni Muda Upo Nchini Mamlaka Kimya Hazisemi Lolote
Raha ya kuwa na fedha ndio hii, unawasha fuso unawahi mzigo fasta to dar unapiga hela double! 😁Karibuni sumbawanga Michele mpya kg1 ni Tshs 1700-1800
Nchi zote duniani anaekula chakula bora ni mkulima tu na ndio mana huo mchele feki unaotoka nje upo hapa dar tu huwezi kuukuta Kyela ama mbaraliVp wananchi tulihtaji mchele wowote kutoka nje? Its obvious hyo ilikua hole ya wao kujipgia pesa flani. Ndo mnasemaga bashe ni genious!!?
Haumfai mtoto yeyote yule hata kama ni mroho vipi… ule sio mchele ni 🚮Ukiona aukufai kuna wengine utawafaa mnooo. We achana nao tu