Aliotuingizia mchele-kande kwa kibali cha kutuletea mchele alaaniwe!

Aliotuingizia mchele-kande kwa kibali cha kutuletea mchele alaaniwe!

Mama Anaupiga Mwingi Mpaka Kwenye Mchele Haa



Tanzania Wajinga Ni Wengi Sana
By Godwin Molel
 
Niliuona mahali week iliyopita, unang'aa huo af 2800,na wakati mchele da hizi 3500.
 
Kwa mfano Dar mashine ya kukoboa mpunga utaiona wapi?
Mchele wenyewe wengine tunanunua nusu na robo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha, nusu na robo watu wa dar ndo kiswahili Chao.
 
Upo mchele ambao umeingia katika soko la nchi yetu ni msafi kweli lakini kwa hakika huu sidhani kama ni mchele maana hauna ladha, haukolei mafuta, unaumiza tumbo,mnaopewa tenda za vyakula ndugu zanguni muwe mnaangalia vitu vya kuwaletea Tanzania, sijui wengine mmewahi kudadisi hili? (kuna baadhi ya maeneo wanauita mchele wa Samia) jina ambalo sidhani kama ni sahihi sana,na huwa unauzwa kati ya 2600-2700,madukani.View attachment 2612770View attachment 2612791
Kwani umelazimishwa kununua? Wabongo mna matatizo gani?
 
Hapana huo unaitwa mchele wa THAILAND na PASKISTAN. Hauna ladha kwasababu unalimwa kwenye umwagiliaji wa kisasa ili kuvunwa kwa wingi pia mbegu zake zimefanyiwa modeling ili zikomae miezi 2 na si m4 mpka 6
 
Kweli kabisa. Mi nilidhani napenda sana kula wali,lakini siku hizi sijui kuna tatizo gani. Nagombana na mpishi kila siku. Chakula unakula kinaleta constipation. This is bad kwa sababu constipation ni chanzo cha magonjwa mengi sana.
 
Wanafanya biashara wanaumix na wa hapa nyumbani sasa hv ni mwendo wa kuchakachua tu ni kama wameletewa neema
 
Back
Top Bottom