Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Facts3k kwa kilo ukipika hauna harufu ukila kama unakula Glue.
Niko Morogoro Unaitwa Kwa Jina Hilo Ila Walioutumia Wanasema Haufai Kwa Matumizi Na Ni Muda Upo Nchini Mamlaka Kimya Hazisemi LoloteWanauita Mchele WA mama samiyaa
Nchi Ngumu Sana Hii Wanafanya WatakavyoHamna mchele hapo
NakaziaSerikali ya CCM Hawa jamaa ni majambazi na wazinzi
Naingia ibadani kwanza hapa KKKT Mabibo, nitawaombea Hawa mbwaNakazia
Inabidi ukiupika uunge na mbilimbi, pilipili, vitunguu na mdalasini ili kupata ladhaUpo mchele ambao umeingia katika soko la nchi yetu ni msafi kweli lakini kwa hakika huu sidhani kama ni mchele maana hauna ladha, haukolei mafuta, unaumiza tumbo,mnaopewa tenda za vyakula ndugu zanguni muwe mnaangalia vitu vya kuwaletea Tanzania, sijui wengine mmewahi kudadisi hili? (kuna baadhi ya maeneo wanauita mchele wa Samia) jina ambalo sidhani kama ni sahihi sana,na huwa unauzwa kati ya 2600-2700,madukani.View attachment 2612770
Hili neno!Mchele nunua mashineni
Amen Man Of God!Naingia ibadani kwanza hapa KKKT Mabibo, nitawaombea Hawa mbwa
Misa ya kwanza neno la leo liwe Hosea 4:6Naingia ibadani kwanza hapa KKKT Mabibo, nitawaombea Hawa mbwa