Alipewa kitengo cha kutuma SMS kuhusu uchaguzi anafanya kweli ila raia hatuna mpango huo wa uchaguzi

Alipewa kitengo cha kutuma SMS kuhusu uchaguzi anafanya kweli ila raia hatuna mpango huo wa uchaguzi

Ukiwasha TV unakutana matangazo umchague mwenyekiti wa ccm, radio hivyo hivyo.
Huyu mazeri anahangaika sana mpk kero, sasa hapo hana mgombea wa upinzani yupo peke yake. Angekuwepo sasa? Kodi za wananchi zinatumika vibaya sana

Kwa kweli Maza kapania. Like jua ije mvua lazima arudi Magogoni. Katiba mpya ikija hata kama ni ya kifake fake hii ya mgombea mwenza kuchukua kiti kilaini laini inabidi iondolewe.
 
Jitokeze kupiga kura tarehe 29 Oktoba, 2025 kumchagua Rais, Mbunge na Diwani. Kura yako haki yako.

Hizi sms zao watumiane wao uchaguzi gani? situmeshasema hakuna uchaguzi sasa hizi sms za nini??
Niende kuchagua nani ? na ili iweje sasa
Screenshot_20250925_144300_Messages.jpg
 
Jioni bodaboda walikuwa zaidi ya 200, wote walipewa 20,000 cash
Una maana gani:
1. Wote 200 walipewa 20,000/ kwa maana kwamba kila mmoja wao alipata Tsh 100; au
2. Kila mmoja wa hao 200 alipewa tsh 20,000; kwa maana kwamba zilitolewa jumla Tsh 4,000,000/?

Bila shaka hata siku ya uchafuzi watu watagawiwa pesa wakapige kur. Sitashangaa!!
 
Jitokeze kupiga kura tarehe 29 Oktoba, 2025 kumchagua Rais, Mbunge na Diwani. Kura yako haki yako.

Hizi sms zao watumiane wao uchaguzi gani? situmeshasema hakuna uchaguzi sasa hizi sms za nini??
Niende kuchagua nani ? na ili iweje sasa
Nimeblock sizipati tena
Sitaki usumbufu
 
Back
Top Bottom