The Khoisan
Platinum Member
- Jun 5, 2007
- 18,900
- 18,751
Ukiwasha TV unakutana matangazo umchague mwenyekiti wa ccm, radio hivyo hivyo.
Huyu mazeri anahangaika sana mpk kero, sasa hapo hana mgombea wa upinzani yupo peke yake. Angekuwepo sasa? Kodi za wananchi zinatumika vibaya sana
Jitokeze kupiga kura tarehe 29 Oktoba, 2025 kumchagua Rais, Mbunge na Diwani. Kura yako haki yako.
Hizi sms zao watumiane wao uchaguzi gani? situmeshasema hakuna uchaguzi sasa hizi sms za nini??
Niende kuchagua nani ? na ili iweje sasa
Una maana gani:Jioni bodaboda walikuwa zaidi ya 200, wote walipewa 20,000 cash
πππAlooh! Hawablokiki aisee ππ
Ni kublock toReport spam, block. Usikwazike
Nimeblock sizipati tenaJitokeze kupiga kura tarehe 29 Oktoba, 2025 kumchagua Rais, Mbunge na Diwani. Kura yako haki yako.
Hizi sms zao watumiane wao uchaguzi gani? situmeshasema hakuna uchaguzi sasa hizi sms za nini??
Niende kuchagua nani ? na ili iweje sasa
Ndo nilichofanyaBlock them.
Mi nimeblock na sijazipata tenaAlooh! Hawablokiki aisee ππ
Safi sanaNdo nilichofanya
Simple
Mi nilisha I block kitambo maana hua inaniharibia siku nikiionaNimetoka kupokea hiyo sms dakika 10 zilizopita nikabak kusunya