Alipoingia alisema hataki 'Mabango' sasa Kazoea Utamu wa 'Mercedes Benz' anasema yakusanywe yote ili yafanyiwe Kazi je, tumueleweje?

Nimehisi hiyo hali imemtokea kulingana na eneo alilokwenda, linafahamika kiuhalisia ni ngome ya upinzani, hivyo ameona bora awe mpole ili akibebe chama chake na yeye binafsi kwa ajili ya 2025.
Moshi siyo ngome ya upinzani.

Upinzani wa kweli uko Pemba!
 
Chato walikwenda kuzima upepo wa jpm kupitia mwenge
 
Nimehisi hiyo hali imemtokea kulingana na eneo alilokwenda, linafahamika kiuhalisia ni ngome ya upinzani, hivyo ameona bora awe mpole ili akibebe chama chake na yeye binafsi kwa ajili ya 2025.
Huu ndiyo Unafiki na Upumbavu nisioutaka GENTAMYCINE Mimi.
 
Damn Fool....!!
 
Mimi sitaacha kushangaa..HUWEZI KUNYAMAZISHA NGUVU YA UMMA, wananchi si wajinga. Huwezi ukawaambia waandike mabango ya kusifia tu wakati wao wanateseka. Tatizo letu sisi masikini siku tukipata tunajisahau tunaanza dharau. Mabango ni sehemu ndogo sana ya ujumbe wa wananchi kwa kiongozi, kama kiongozi unashindwa kusoma hata huo ujumbe mchache basi hautufai.

Nimesikia mtu akitangazia wanawake wajiandae kuweka Rais wao 2025, baadae nikasikia mara viatu vya mtangulizi wake ni vikubwa mno hawezi kuvivaa...maana mtangulizi alikuwa shupavu na jasiri. Sasa najiuliza huyu anataka avae sandozi za wazi tusijue size ya viatu vyake 2025..kweli atatufaa huyu...au tuendelee kuishi kwa akili na hawa viumbe (tutawaliwe kwa akili na hawa viumbe kwakweli)
 
Na kumbe "kuyafanyia kazi mabango" ni kuyachoma moto. Mama ni msanii hakuna mfano
 
Wakati anaanza alikuwa na ulinzi wa kawaida sn, now days ni zaidi ya Rais wa Marekani yaani hata waliompa hicho cheo hawaamini tena
 
Hafai hata kidogo ni wa kumuondoa haraka sn
 
Acha uongo hakuseme hataki mabango
 
Acha uongo samia hakusema hataki mabango,alichosema akiona mabango basi hao viongozi wa maeneo hayo kazi hawawezi

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Nimehisi hiyo hali imemtokea kulingana na eneo alilokwenda, linafahamika kiuhalisia ni ngome ya upinzani, hivyo ameona bora awe mpole ili akibebe chama chake na yeye binafsi kwa ajili ya 2025.
Mama ana flexibility hayupo #RIGID
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…