Alipoingia alisema hataki 'Mabango' sasa Kazoea Utamu wa 'Mercedes Benz' anasema yakusanywe yote ili yafanyiwe Kazi je, tumueleweje?

Alivyosema kule Arusha kuwa kiukweli walijichelewesha sana kupata barabara nzuri sababu ya upinzani,nikaona tatizo lipo pale pale.Eeh Mungu,tuhurumie sisi Wadanganyika!
 
Mabango hayakwepeki maana sio rahisi matatizo/changamoto za wananchi kutokuwepo au kutatuliwa zote na kuzimaliza kwa mkupuo. Nadhani amegundua mtazamo ule haukuwa sahihi.
 
Wanaokejeli mtoa mada hawawezi hata kusema kuna kosa gani. Kichwa cha habari kimejitosheleza. Hebu kisomeni tena. Hicho tu.

Msimamo,


Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 

 
Kwani Kayumba nyamwasa alipokuja na mbadala wa kutokuwaua wahutu bali siasa itumike kuwaelimisha !!Ndugu yako alisikia?si ndio kwanza akamtumia na watu wampige risasi baada ya kumwua patrick karegeya!!!!!NADHANI NA HANGAYA HAPANGIWI ANAFANYA AJISIKIAVYO!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ