Alipokuja papa Paul wa pili nchini, aliiweka hii nchi chini ya Bikra Maria ndo maana nchi ina baraka tele

deblabant

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2022
Posts
2,650
Reaction score
4,065
Tukumbuke jamani hii nchi imeshawekwa chini ya ulinzi wa bikra maria baada ya ujio wa papa Paul wa pili hivyo tuna baraka tele.

Hatuna ukabila kwa sababu bikra maria yu kazini.

Maamdamano hayatawezekana kwa sababu bikra maria yu kazini.

Violence za namna yoyote zinazoratibiwa na akina Lissu hazitawezeka kwa sababu bikra yu kazini

Rais wetu ni mwanamke hivyo ana baraka zote kutoka kwa mama yetu bikra Maria.
 
Hii nchi ina mijinga mijinga mingi
Ona kama hili sasa
Sa kwa akili hz ccm si yatatawala mpaka kiama

Who's bikira Maria
Je ni Mungu au ni nani hasa mpk alinde nchi......

Imendkwa mji Asipoulinda Bwana akeshaye akesha bure
Je huyo Bwana ndo huyo bikira Maria au nn
 
Mariam mpaka anakufa alikuwa ameshazaa! Na bikra akishazaa haitwi bikra tena,ni mama watoto,
(Mathayo13:53-56)
Mariamu hawezi kuilinda kwa sababu alishakufa na yeye anasubiri ufufuo!
Alizaa kwa mpango wa Mungu na kila kitu kwa mungu kinawezekana. Hakuwahi kuingiliwa na mwanamme yeyote hivyo ni bikra mpaka leo.

Hakufa bali alipalizwa mbinguni mwili na roho
 
Kuna kitu kinanifikirishaga hv kwann Bado anaitwa Bikira Hali yakuwa alishazaa au Kuna mahali Bible imesema alizaa Kwa operation. Hiyo haitoshi baada ya kumzaa Yesu Biblia inaonyesha maria alizaa watoto wengine

Sasa hii dhana ya kuendelea kuita bikra inabebwa na nini? Kama Hiyo dhana itaendelea bac wanawake wote waitwe mabikra kwasb Kabla ya bikra zao kutoka walikuwa mabikra pia.
 
Tukumbuke jamani hii nchi imeshawekwa chini ya ulinzi wa bikra maria baada ya ujio wa papa Paul wa pili hivyo tuna baraka tele.

Hatuna ukabila kwa sababu bikra maria yu kazini.

Maamdamano hayatawezekana kwa sababu bikra maria yu kazini.

Violence za namna yoyote zinazoratibiwa na akina Lissu hazitawezeka kwa sababu bikra yu kazini

Rais wetu ni mwanamke hivyo ana baraka zote kutoka kwa mama yetu bikra Maria.
Amen
 
Acha kudanganya umma Bible iko wazi mimba ndio iliingia Kwa namna isiyo ya kawaida ila kuzaa alizaa kawaida hiyo bikra inabaki vipi soma vzr Biblia yako msipende kuburuzwa Hata kwenye mambo yaliyo wazi

Na ukumbuke alizaa watoto wengne nje na Yesu ni nani kakuambia nao mimba zao ziliingia kimiujiza?
 
Kuna kitu kinanifikirishaga hv kwann Bado anaitwa Bikira Hali yakuwa alishazaa au Kuna mahali Bible imesema alizaa Kwa operation. Hiyo haitoshi baada ya kumzaa Yesu Biblia inaonyesha maria alizaa watoto wengine

Sasa hii dhana ya kuendelea kuita bikra inabebwa na nini? Kama Hiyo dhana itaendelea bac wanawake wote waitwe mabikra kwasb Kabla ya bikra zao kutoka walikuwa mabikra pia.
Nioneshe kifungu kinachosema aliendelea kuzaa baada ya kumzaa yesu
 
Acha kudanganya umma Bible iko wazi mimba ndio iliingia Kwa namna isiyo ya kawaida ila kuzaa alizaa kawaida hiyo bikra inabaki vipi soma vzr Biblia yako msipende kuburuzwa Hata kwenye mambo yaliyo wazi

Na ukumbuke alizaa watoto wengne nje na Yesu ni nani kakuambia nao mimba zao ziliingia kimiujiza?
Mungu ndo alimfanya bikra siyo binadamu. Ukiwa na roho mtakatifu utajua hilo ila ukiongozwa na akina mwamposa kamwe hutafunuliwa fumbo hili
 
Back
Top Bottom