Alipokuja papa Paul wa pili nchini, aliiweka hii nchi chini ya Bikra Maria ndo maana nchi ina baraka tele

Hao siyo watoto wake. Nenda shuld uwe na angalau diplpma ya theology na usisome vyu vya wasabato mana itadanganywa. Catholic are the source of knowledge and they wrote the bible
Sasa Diploma ya Theology mimi ya nini we Jamaa bana.
Kwaiyo unayabishia Maandiko tena.
 
Maamdilo huyajui ndo mana nakwambia ukasome elimi ya kujua biblia yaani theology. Ndo mana kagame amefinga makanosa yoye yanayoendeshwa na wati wasiokiw na utaalamu huo kama wewe. Mnakirupuka tu. Biblia ina utaalamu wake ndoana mapadre wanasoma 25 years.
 
Khee kwaheri Kaka apa napoteza Energy yangu bure.
 
Back
Top Bottom