Kama ni Mariamu ndiye unazungumzia, kamwe katu hakujifungua kimuujiza tofauti na wanawake wengine.
Ni kwamba alipata mimba (siyo kujifungua) kwa uweza wa Roho Mtakatifu.
Yusufu aliambiwa asimwache (alipodhani ana mimba ya zinaa), ikiwa na maana kwamba alimwoa akawa mkewe na wakazaa wana na mabinti wengine.
Bila shaka Mariamu alifariki na kuzikwa kama wanadamu wengine akina Magdalene, Petro, Tabitha, Eunike, Yohane na hata Mtume Paulo.
Kwamba Mariamu alipaa mbinguni? Hilo si ufunuo wa Biblia.
Ukatoliki ni laana kwa dunia.