Alipokuja papa Paul wa pili nchini, aliiweka hii nchi chini ya Bikra Maria ndo maana nchi ina baraka tele

Acha kudanganya umma Bible iko wazi mimba ndio iliingia Kwa namna isiyo ya kawaida ila kuzaa alizaa kawaida hiyo bikra inabaki vipi soma vzr Biblia yako msipende kuburuzwa Hata kwenye mambo yaliyo wazi

Na ukumbuke alizaa watoto wengne nje na Yesu ni nani kakuambia nao mimba zao ziliingia kimiujiza?
aliwaza akina nani ndugu
 
Mariam mpaka anakufa alikuwa ameshazaa! Na bikra akishazaa haitwi bikra tena,ni mama watoto,
(Mathayo13:53-56)
Mariamu hawezi kuilinda nchi au kutulinda sisi kwa sababu alishakufa na yeye anasubiri ufufuo!
Absolutely.

Ni Ukatoliki pekee, of all people in the world, ndio wanaweza kukwambia mchana ni usiku na usiku ni mchana, na wala wasihisi hatia wala mkwamo wowote wa dhamiri.

Inasemekana kwamba Ukatoliki ukiingia kwenye chumba fulani, Shetani mwenyewe anasimama kutoa heshima zake.
 
Until you learn more is when you get to understand catholic. Kanisa halitakagi wajinga wajinga. Wajinga wote wanaendaga kwa mitume kam akina mwamposa
 
Alizaa kwa mpango wa Mungu na kila kitu kwa mungu kinawezekana. Hakuwahi kuingiliwa na mwanamme yeyote hivyo ni bikra mpaka leo.

Hakufa bali alipalizwa mbinguni mwili na roho
Kama ni Mariamu ndiye unazungumzia, kamwe katu hakujifungua kimuujiza tofauti na wanawake wengine.

Ni kwamba alipata mimba (siyo kujifungua) kwa uweza wa Roho Mtakatifu.

Yusufu aliambiwa asimwache (alipodhani ana mimba ya zinaa), ikiwa na maana kwamba alimwoa akawa mkewe na wakazaa wana na mabinti wengine.

Bila shaka Mariamu alifariki na kuzikwa kama wanadamu wengine akina Magdalene, Petro, Tabitha, Eunike, Yohane na hata Mtume Paulo.

Kwamba Mariamu alipaa mbinguni? Hilo si ufunuo wa Biblia.

Ukatoliki ni laana kwa dunia.
 
Ukikosa hela ukitombewa mkeo ndyo utajua hii nchi Ina lindwa na Nani

Subir tu
 
Kama ni Mariamu ndiye unazungumzia, kamwe katu hakujifungua kimuujiza tofauti na wanawake wengine.

Ni kwamba alipata mimba (siyo kujifungua) kwa uweza wa Roho Mtakatifu.

Yusufu aliambiwa asimwache (alipodhani ana mimba ya zinaa), ikiwa na maana kwamba alimwoa akawa mkewe na wakazaa wana na mabinti wengine.

Bila shaka Mariamu alifariki na kuzikwa kama wanadamu wengine akina Magdalene, Petro, Tabitha, Eunike, Yohane na hata Mtume Paulo.

Kwamba Mariamu alipaa mbinguni? Hilo si ufunuo wa Biblia.

Ukatoliki ni laana kwa dunia.
Taja watoto wengine wa bikra maria mbali na mwanae yeau.

Bikira maria hakufa aliparizwa mbinguni mwili na roho.

Kumbuka kifo ni matikeo ya dhambi na bikra maria hakuwa na dhambi ndo mna aalimzaa yesu.

Sima.mathoyo inazungumza kuwa bikra maria alikingiwa dhambi ya asili
 
We mtoa madam umeandika ushumbwanda Gani lakini
 
Taja watoto wengine wa bikra maria mbali na mwanae yeau.

Bikira maria hakufa aliparizwa mbinguni mwili na roho.

Kumbuka kifo ni matikeo ya dhambi na bikra maria hakuwa na dhambi ndo mna aalimzaa yesu.

Sima.mathoyo inazungumza kuwa bikra maria alikingiwa dhambi ya asili
Ni wapi kwenye Biblia ambapo Yusufu alizuiwa kukutana kimwili na Mariamu?

Je, Mariamu alikuwa mkewe ama hakuwa mkewe? Unaelewaje maana ya mwanamama kuwa mke wa mtu mwingine?

Lini na wapi kwenye Biblia ambapo imeandikwa Mariamu alipaa mbinguni?

Unaposema Mariamu hakuwa na dhambi, hivi umezingatia mathalani Warumi 3:23 kwamba wote wametenda dhambi na kupungukiwa utukufu wa Mungu?

Fundisho kuhusu utakatifu, unyakuo na mzuko wa Bikra Maria ni pishi chachu la uovu uliofinyangiwa kwenye korido za jehanamu.
 
Tukumbuke jamani hii nchi imeshawekwa chini ya ulinzi wa bikra maria baada ya ujio wa papa Paul wa pili hivyo tuna baraka tele.

Hatuna ukabila kwa sababu bikra maria yu kazini.

Maamdamano hayatawezekana kwa sababu bikra maria yu kazini.

Violence za namna yoyote zinazoratibiwa na akina Lissu hazitawezeka kwa sababu bikra yu kazini

Rais wetu ni mwanamke hivyo ana baraka zote kutoka kwa mama yetu bikra Maria.
Si kweli, hii nchi ilibarikiwa kitambo hata kabla ya Yesu na Mohammed na manabii wote wa uwongo uwajuao wewe toka kwenye hivi vitabu vilivyotungwa na shetani na watu. Tanzania ni nchi iliyobarikiwa sana, sema tu wananchi wake kichwani hamnazo.
 
Tukumbuke jamani hii nchi imeshawekwa chini ya ulinzi wa bikra maria baada ya ujio wa papa Paul wa pili hivyo tuna baraka tele.

Hatuna ukabila kwa sababu bikra maria yu kazini.

Maamdamano hayatawezekana kwa sababu bikra maria yu kazini.

Violence za namna yoyote zinazoratibiwa na akina Lissu hazitawezeka kwa sababu bikra yu kazini

Rais wetu ni mwanamke hivyo ana baraka zote kutoka kwa mama yetu bikra Maria.
Duu Wakoloni walituweza😀😀
 
Back
Top Bottom