Alizaa kwa mpango wa Mungu na kila kitu kwa mungu kinawezekana. Hakuwahi kuingiliwa na mwanamme yeyote hivyo ni bikra mpaka leo.Mariam mpaka anakufa alikuwa ameshazaa! Na bikra akishazaa haitwi bikra tena,ni mama watoto,
(Mathayo13:53-56)
Mariamu hawezi kuilinda kwa sababu alishakufa na yeye anasubiri ufufuo!
AmenTukumbuke jamani hii nchi imeshawekwa chini ya ulinzi wa bikra maria baada ya ujio wa papa Paul wa pili hivyo tuna baraka tele.
Hatuna ukabila kwa sababu bikra maria yu kazini.
Maamdamano hayatawezekana kwa sababu bikra maria yu kazini.
Violence za namna yoyote zinazoratibiwa na akina Lissu hazitawezeka kwa sababu bikra yu kazini
Rais wetu ni mwanamke hivyo ana baraka zote kutoka kwa mama yetu bikra Maria.
Nioneshe kifungu kinachosema aliendelea kuzaa baada ya kumzaa yesuKuna kitu kinanifikirishaga hv kwann Bado anaitwa Bikira Hali yakuwa alishazaa au Kuna mahali Bible imesema alizaa Kwa operation. Hiyo haitoshi baada ya kumzaa Yesu Biblia inaonyesha maria alizaa watoto wengine
Sasa hii dhana ya kuendelea kuita bikra inabebwa na nini? Kama Hiyo dhana itaendelea bac wanawake wote waitwe mabikra kwasb Kabla ya bikra zao kutoka walikuwa mabikra pia.
Mungu ndo alimfanya bikra siyo binadamu. Ukiwa na roho mtakatifu utajua hilo ila ukiongozwa na akina mwamposa kamwe hutafunuliwa fumbo hiliAcha kudanganya umma Bible iko wazi mimba ndio iliingia Kwa namna isiyo ya kawaida ila kuzaa alizaa kawaida hiyo bikra inabaki vipi soma vzr Biblia yako msipende kuburuzwa Hata kwenye mambo yaliyo wazi
Na ukumbuke alizaa watoto wengne nje na Yesu ni nani kakuambia nao mimba zao ziliingia kimiujiza?