Son of Gamba
JF-Expert Member
- Oct 26, 2012
- 4,720
- 6,957
Huyo Bikra Maria ndiyo nani?Tukumbuke jamani hii nchi imeshawekwa chini ya ulinzi wa bikra maria baada ya ujio wa papa Paul wa pili hivyo tuna baraka tele.
Hatuna ukabila kwa sababu bikra maria yu kazini.
Maamdamano hayatawezekana kwa sababu bikra maria yu kazini.
Violence za namna yoyote zinazoratibiwa na akina Lissu hazitawezeka kwa sababu bikra yu kazini
Rais wetu ni mwanamke hivyo ana baraka zote kutoka kwa mama yetu bikra Maria.
🤣🤣🤣Tangulia Milembe, ukifika waambie wakupe chumba then ntakuja kutoa maelezo yako
Wewe inahitaji msaada mkubwa Sana nikushaur kama unataka kufanikiwa katika ulimwengu wa roho katika ukristo wako acha kuomba kupitia Bikira Maria hakuna mahali Biblia imempa nafasi ya kuombwa chochote akusaidie kama unalo andiko liweke hapa namm nitakupa andiko linaloonyesha nani anapaswa kuombwaMungu ndo alimfanya bikra siyo binadamu. Ukiwa na roho mtakatifu utajua hilo ila ukiongozwa na akina mwamposa kamwe hutafunuliwa fumbo hili
Soma vizuri biblia. Biblia imeandikwa kwa mafumbo na mifano. Alipokuwa mjini kana watu walipitia kwa bikra maria ili kumfikia yesu ili awape pombe(divai)Wewe inahitaji msaada mkubwa Sana nikushaur kama unataka kufanikiwa katika ulimwengu wa roho katika ukristo wako acha kuomba kupitia Bikira Maria hakuna mahali Biblia imempa nafasi ya kuombwa chochote akusaidie kama unalo andiko liweke hapa namm nitakupa andiko linaloonyesha nani anapaswa kuombwa
Wewe si unafaham kiswahili ? Thibitisha kupitia Biblia kuwa yeye Bado ni bikra.Mungu ndo alimfanya bikra siyo binadamu. Ukiwa na roho mtakatifu utajua hilo ila ukiongozwa na akina mwamposa kamwe hutafunuliwa fumbo hili
Huu utumbo una mchangaTukumbuke jamani hii nchi imeshawekwa chini ya ulinzi wa bikra maria baada ya ujio wa papa Paul wa pili hivyo tuna baraka tele.
Hatuna ukabila kwa sababu bikra maria yu kazini.
Maamdamano hayatawezekana kwa sababu bikra maria yu kazini.
Violence za namna yoyote zinazoratibiwa na akina Lissu hazitawezeka kwa sababu bikra yu kazini
Rais wetu ni mwanamke hivyo ana baraka zote kutoka kwa mama yetu bikra Maria.
Wewe ndo una tatizo mkuu kwa sababu ulipaswa kujua kwamba he is just jokingOf all billions of cells that once made up your brain,there is no survivor.
Ni bikra kwa sababu mimba aliyoipata ni kwa uwezo wa Mungu siyo binadamu na hakuwahi kukutana na mwanamme yoyote na hajawahi mpaka anapalizwa mbinguni mwili na rohoWewe si unafaham kiswahili ? Thibitisha kupitia Biblia kuwa yeye Bado ni bikra.
Kingine nakukumbusha Mungu hatetewi anajitetea Mwenyew ndio maana Kuna baadhi ya dini zinasemaga wanapigana kwaajili ya Mungu kana kwamba huyo Mungu mwenyew hawez kujitetea
Sasa weka andiko linaloonyesha kuwa Maria Bado ni bikra namm nitakupa andiko linaloonyesha yeye sio bikra
Wewe unafahamu kama Maria alikuwa na watoto wengne? Ukiachana na Yesu nijibu Hilo swali kwanza na kama hujui basi tusibishane soma Biblia kwanza uimalize mwanzo Hadi ufunuo walau mara 3 ndio ulete hoja mezaniNi bikra kwa sababu mimba aliyoipata ni kwa uwezo wa Mungu siyo binadamu na hakuwahi kukutana na mwanamme yoyote na hajawahi mpaka anapalizwa mbinguni mwili na roho
inafuatana na uelewa wako kuhusu Bikra .. Bikra ni nomino mkuu. ni kitu.. na siyo hali ya kuto ingiliwa.. kwa hiyo kile kitu "bikra" ambacho hata baisikeli tu inatoa.. hakikutoka ... kilibaki hata baada ya Yesu kuzaliwa... ni sawa na kusema mbona ukivaa miwani una ona mbele.. kwa hiyo miwani siyo kizuizi..Kuna kitu kinanifikirishaga hv kwann Bado anaitwa Bikira Hali yakuwa alishazaa au Kuna mahali Bible imesema alizaa Kwa operation. Hiyo haitoshi baada ya kumzaa Yesu Biblia inaonyesha maria alizaa watoto wengine
Sasa hii dhana ya kuendelea kuita bikra inabebwa na nini? Kama Hiyo dhana itaendelea bac wanawake wote waitwe mabikra kwasb Kabla ya bikra zao kutoka walikuwa mabikra pia.
Hukuwa na sababu ya kuja na hii mada kama kweli wewe ni Mkatoliki kama nilivyo mimi. Maana utasababisha tu kejeli na matusi kutoka kwa watu wasioikiri imani ya Kanisa Katoliki.Tukumbuke jamani hii nchi imeshawekwa chini ya ulinzi wa bikra maria baada ya ujio wa papa Paul wa pili hivyo tuna baraka tele.
Hatuna ukabila kwa sababu bikra maria yu kazini.
Maamdamano hayatawezekana kwa sababu bikra maria yu kazini.
Violence za namna yoyote zinazoratibiwa na akina Lissu hazitawezeka kwa sababu bikra yu kazini
Rais wetu ni mwanamke hivyo ana baraka zote kutoka kwa mama yetu bikra Maria.
Mathayo 13:Ni bikra kwa sababu mimba aliyoipata ni kwa uwezo wa Mungu siyo binadamu na hakuwahi kukutana na mwanamme yoyote na hajawahi mpaka anapalizwa mbinguni mwili na roho
Hujui na sio "ujui"Huna akili na ujui kwamba huna
Kweli ww ndio kabisa Bora Hata mleta mada soma comment zangu zote nmekupa Hadi watoto wengine ambao maria alizaa halaf unakuja kuniambia bikra ni kitu sio Hali may you define the term Virgin? Halaf Baki na majibu yakoinafuatana na uelewa wako kuhusu Bikra .. Bikra ni nomino mkuu. ni kitu.. na siyo hali ya kuto ingiliwa.. kwa hiyo kile kitu "bikra" ambacho hata baisikeli tu inatoa.. hakikutoka ... kilibaki hata baada ya Yesu kuzaliwa... ni sawa na kusema mbona ukivaa miwani una ona mbele.. kwa hiyo miwani siyo kizuizi..