Nigrastratatract nerve
JF-Expert Member
- Sep 4, 2019
- 1,521
- 4,381
Idadi ya na watu vilivyonyooshwa na Magufuli na mapema tu baada ya kazi Hiyo ngumu na nzito Mungu alimuita Mbinguni ameketi mkono wa kuume wa Mungu baba
Tundu Lissu: huyu alikuwa kibaraka wa wazungu alizoea kula kwa kupayuka mwanaume akasema hunijui wewe yalimkuta yaliyomkuta
Mbowe: Huyu Alizoea siasa za michongo za kuhongana alinyooshwa na akanyooka na kundi lake kama akina Lema, sugu Heche mnyika nk wote waliufyata
Mafisadi majizi na matapeli ya nchi hii malanguzi na mala rushwa wakubwa
Mabeberu yalibwanwa kisawa Sawa mwanaume alikosoa waliogopa na walitikisika Mwamba wa Chato Jemedari wa Vita Mwamba huyu ety analinganishwa na watu wanaozeeka bila kujenga hata Choo ety Magufuli anafananishwa na babu Mbowe hii ni aibu mwanaume kamaliza kazi yake wambeya ongeeni yooote Mwamba yuko kwa Mungu baba anawazomea wale wasiojitambua