Alipomaliza kunyoosha mabarabara mafisadi na mercenaries na vyama uchwara Mwenyezi Mungu alimuita Mbinguni

Alipomaliza kunyoosha mabarabara mafisadi na mercenaries na vyama uchwara Mwenyezi Mungu alimuita Mbinguni

mabaga fresh Lisu anaishi kwa aibu kubwa sana anajutia Sana kwa nn alikuwa msaliti
Alimsaliti mamako!!??

Hii ni nini?
JamiiForums1747635565.jpg
 
Mungu alimuacha Lissu ataabike na ulemavu wake wa kudumu. Aone kazi ya mwanaume na jinsi mwanaume anavyokubalika na alivyokuwa na nguvu hata sasa kuliko walio hai.

Lissu kwa sasa kiuno hakifanyi kazi. Atabakia akidownload video tu.
Ulijaribu kumpa ukaona hakifanyi kazi!!!???
 
Tundu Lissu hawezi kuja kukuokoa ukipigwa na xpel.

Hayati aliwanyoosha Wazungu na hususani Acacia, unadai Acccia ndio waliomuua Hayati?

Kama una taarifa utupatie,

manake madai yenu yakujificha kwenye chaka la mungu tushaligundua. Wenzako walitumia mbinu hizo karne nyingi zilizopita, hawakufanikiwa sembuse wee kibaraka wa Tundu Lissu na CHADEMA mmeshambiwa wacheni propaganda za kitoto
"Hayati aliwanyoosha Wazungu na hususani Acacia, unadai Acccia ndio waliomuua Hayati?"
JamiiForums1747635565.jpg
 
Idadi ya na watu vilivyonyooshwa na Magufuli na mapema tu baada ya kazi Hiyo ngumu na nzito Mungu alimuita Mbinguni ameketi mkono wa kuume wa Mungu baba

Tundu Lissu: huyu alikuwa kibaraka wa wazungu alizoea kula kwa kupayuka mwanaume akasema hunijui wewe yalimkuta yaliyomkuta

Mbowe: Huyu Alizoea siasa za michongo za kuhongana alinyooshwa na akanyooka na kundi lake kama akina Lema, sugu Heche mnyika nk wote waliufyata

Mafisadi majizi na matapeli ya nchi hii malanguzi na mala rushwa wakubwa

Mabeberu yalibwanwa kisawa Sawa mwanaume alikosoa waliogopa na walitikisika Mwamba wa Chato Jemedari wa Vita Mwamba huyu ety analinganishwa na watu wanaozeeka bila kujenga hata Choo ety Magufuli anafananishwa na babu Mbowe hii ni aibu mwanaume kamaliza kazi yake wambeya ongeeni yooote Mwamba yuko kwa Mungu baba anawazomea wale wasiojitambua
Wanaopambana na Magufuli aliyekwishajiondokea wanalenga kupata nini kama siyo ujuha? Kwani nyinyi mmelifanyia nini taifa zaidi ya roho mbaya na husda zisizo na sababu zaidi ya umaskini wa kufikiri?
 
Tundu Lissu ndie aliyotoa Ruhusa ya watu kama hawa kuendeleza chuki Tanzania, na wanadai mambo mengi tu yasiyo na mshiko, ukitoa hoja wanakuja na matusi kama haya
Kifo cha mwendazake mbwa magufuli kinadhihirisha ukuu wa Mungu dhidi ya wanadamu fedhuli.

Hakika Tundu Lissu sio wa Kuchagilika. Hachaguliki.
 
Idadi ya na watu vilivyonyooshwa na Magufuli na mapema tu baada ya kazi Hiyo ngumu na nzito Mungu alimuita Mbinguni ameketi mkono wa kuume wa Mungu baba

Tundu Lissu: huyu alikuwa kibaraka wa wazungu alizoea kula kwa kupayuka mwanaume akasema hunijui wewe yalimkuta yaliyomkuta

Mbowe: Huyu Alizoea siasa za michongo za kuhongana alinyooshwa na akanyooka na kundi lake kama akina Lema, sugu Heche mnyika nk wote waliufyata

Mafisadi majizi na matapeli ya nchi hii malanguzi na mala rushwa wakubwa

Mabeberu yalibwanwa kisawa Sawa mwanaume alikosoa waliogopa na walitikisika Mwamba wa Chato Jemedari wa Vita Mwamba huyu ety analinganishwa na watu wanaozeeka bila kujenga hata Choo ety Magufuli anafananishwa na babu Mbowe hii ni aibu mwanaume kamaliza kazi yake wambeya ongeeni yooote Mwamba yuko kwa Mungu baba anawazomea wale wasiojitambua
Toa ujinga
 
Hii yako nayo ni takataka mavi kunuka..huna unachojua ndo mana umejiita Matola! Shwain

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
Hadi sasa hakuna aliyevimbisha ubongo wake kuvunja record yairadi na creative thinking.
SGR ya Umeme, MV Mwanza, Nyerere hydropower , Acacia , Hospitals, Shule bure, mikopo chuo etc.
Wore wanatapatapa humo humor kwa JPM...huo ndiyo utakatifu.
Mungu na ambariki daima.
 
Mleta mada yuhu 'shujaa wako' yuko sehemu tofauti kabisa na mbinguni (yuko ile sehemu ingine)
Kwa unyanyasaji wake, kuua, kupora, kunyanyasa, kubagua na ukatili wake nikimkuta mbinguni mie natoka nje!
 
Back
Top Bottom